Gape Sugar kwa nusu mwaka ni 30K (kwa takwimu za wizara ya Bashe na Serikali ya CCM). Kwa Kuagiza hii Sukari yote (400k) ni kuitia Serikali kidole
Bashe yeye kaagiza sukari ya miaka 5 ndani ya mwaka, hili limekaa kimkakati sana hii ni sawa Sukari ya dharura kwa Miaka 5(kwa wastani na takwimu za...
Akijibu hoja ya Luhaga Mpina kuhusu uagizaji na uingizaji wa Sukari nchini, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe hapo Jana bungeni alisema, "Sukari ni chakula cha watu masikini, ndo maana Wabunge mkienda kantini mnaulizwa, unataka Sukari?" Na huwa mnachagua asali Kwa sababu nyie si masikini.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.