upungufu wa trastuzumab

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Responded Ufafanuzi kuhusu: Upatikanaji wa Dawa ya Trastuzumab kwa Wagonjwa wa Saratani

    Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu madai ya kutokuwepo kwa dawa ya Trastuzumab, inayotumika katika matibabu ya baadhi ya wagonjwa wa saratani. MNH inapenda kuufahamisha umma, wagonjwa na wadau wote kuwa dawa ya Trastuzumab...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…