Nina biashara yangu mahali na inaonekana vibaka ndiyo wanaweza wakanirudisha nyuma nisipochukua hatua yoyote kuwadhibiti. Nimeona pamoja na hatua nyingine nitakazochukua kuwadhibiti njia nyingine ni kuweka upupu eneo ambalo vibaka wanaweza kupita. Nahitaji kama debe mbili au tatu za huo upupu...