upya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Ofisi ya Kurugenzi ya Mwendesha Mashtaka Nchini inafaa iundwe upya

    Hii ni moja ya ofisi au Taasisi nyeti Sana lakini inayoitia serikali aibu kubwa Sana. Ukiangalia kesi nyingi zinazoendeshwa na waendesha mashtaka wetu utaona yafutayo:- - nyingi serikali au jamhuri hushindwa kutokana na ushahidi mbovu. Kwa maana ya upelelezi wa kulipia lipua, au wa kubambika na...
  2. Rais wa Tunisia apanga kuiandika upya katiba ya nchi hiyo

    Rais wa Tunisia, Kais Saied ametangaza mpangp wake wa kuiandika upya Katiba ya Nchi yake Akitoa salamu za Sikukuu, Rais Saied ambaye alivunja Baraza la Mawaziri na Bunge amesema kamati itafanyia kazi suala hilo na italikamilisha ndani ya siku chache zijazo. Hakusema ni jinsi gani katiba hiyo...
  3. S

    Natafuta alierejeshwa upya kazini

    Wadau habari za siku nyingi, mimi ni miongoni mwa wadau wanaotarajia kurejeshea kazini upya. Nimepambana vya kutosha ishu ni kwamba mpaka sasa sijapata jibu la mwisho ukiangalia ni miaka zaidi ya minne mpaka sasa ishu yangu naambiea iko kitengo cha usalama Utumishi je ni mpaka lini au ni Mambo...
  4. Kinachoendelea suala la tozo ya kodi ya pango kupitia LUKU za TANESCO si sawa

    Hili suala ambalo mnalifanya mwezi huu tunaomba Waziri Makamba tazama upya Kodi ya tozo ya jengo ilianza mwezi Julai mwaka 2021, ajabu kuna watu wameungiwa umeme mwezi Februari 2022, wengine mwezi March 2022 wananunua umeme wanapata unit ndogo wakihoji wanambiwa umekatwa tozo ya Kodi kuanzia...
  5. Makamu Rais wa Zanzibar: Sheria ya uchochezi ipitiwe upya, ina mianya mingi ya kutumika vibaya

    Sheria ya uchochezi inatoa fursa ya kutumika vibaya na vyombo vinavyosimamia sheria hasa Polisi na kwamba wakati umefika wa kuifanyia mapitio ili kulinda uhuru wa kujieleza na wa habari nchini. Rai hiyo ilitolewa mjini hapo jana Machi 28, 2022 na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman...
  6. Hapa sampuli za maji ya mto Mara zipelekwe baadhi TBS, GCLA, NEMC, SGS, Intertek na zingine kwenye maabara za vyuo zikapimwe upya

    Kwakua majibu ya ripoti yamekua na utata kidogo, ni vyema sampuli za maji ya mto mara zifanyiwe uchunguzi wa maabara upya. Sidhani kama swala la kuchunguza maji lilihitaji kuunda tume. Analysis za maji ni kitu kidogo sana. Anyway ningekua ni mimi ningechukua sampuli za maji na kuzipeleka kwenye...
  7. D

    Tanzania itapiga hatua kubwa ya maendeleo pale wakoloni watakaporudi upya

    Inchi za afrika, ikiwemo Tanzania haitakaa ipige hatua kama watu wengi wanavyotarajia! Tutasubiri sana! Ebu fikiria kwa haya maendeleo machache tumeyafikia baada ya miaka 60 ya Uhuru! Je ikitokea vita si ndo itakuwa kiama! Huko Ulaya watu hupigana vita na kuharibu kila kitu, lakini ndani ya...
  8. OSHA , utaratibu huu mnaoutumia sio mzuri! Uangalieni upya

    Mamlaka ya usalama na afya katika mazingira ya kazi(OSHA), moja ya majukumu yake ni kutoa mafunzo mbalimbali kwa wafanyakazi mahala pa kazi. Tatizo ninalo liona ni pale mtu /taasisi inapohitaji mafunzo kwa wafanyakazi wake, unaambiwa jisajiri na kulipia gharama za mafunzo tena sio ndogo kuna...
  9. Madaraja ya juu: Tufikirie upya mikakati yetu

    Waenda kwa miguu jijini Dar es Salaam hudiriki kuvuka njia zenye msongamano wa magari barabarani licha ya kuwepo kwa madaraja yanayopita juu, huku wengi wao wakisema madaraja hayo ni marefu mno kuvuka, utafiti umebaini. Utafiti huo umefanywa na wanasayansi kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji...
  10. S

    Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

    Inaumiza, inasikitisha unless sio kweli. Jionee:
  11. Tulifumua mtaala na kutengeneza upya mkatucheka, oneni sasa wenyewe mnajisema - Why Tanzania’s education is a joke

    Sisi Wakenya tuna uthubutu, tulikusanya wazawa wazalendo wa nchi hii kutokea kwa washika dau wote wanaohusiana na elimu, wakafumua mtaala uliokuwepo na kuunda upya herufi kwa herufi kwa kuzingatia mifumo ya kisasa, mahitaji ya soko la ajira, uzalishaji kwenye uchumi na suala lote la kijamii...
  12. Ushauri: Rais Samia vunja TAKUKURU na iundwe upya

    Mama kama unataka kudili na rushwa nchi hii anza na TAKUKURU hii haina kazi zaidi ya kutumia pesa za walipa kodi. Hizo pesa za kuwalipa hawa bora vijana wapewe mitaji tu. Ni taasisi ambayo haina kazi na ina bajeti kubwa sana, Taasisi yenyewe imejaa wapigaji. Ukiangalia Habari kila sehemu ni...
  13. Muda wa kuanza safari za mabasi uangaliwe upya

    Nafikiri sheria tunayotumia kwa sasa ya kuanza safari saa kumi na mbili (06h00) asubuhi ni sheria ya miaka ya nyuma na hivyo inaweza kuboreshwa kwani mambo yamebadilika sana Fikiria safari za Morogoro to Dar unalazimisha basi liondoke saa 12 asubuhi hivi kweli hicho kipande kina hatari gani...
  14. Kuna haja ya Wizara ya Ulinzi kuundwa upya iwe Wizara ya Ulinzi na Mambo ya Ndani

    Kwa muda mrefu sana tumeona Wizara ya mambo ndani ikikumbwa na changamoto nyingi sana. Hasa kwa vyombo vya ulinzi vilivyoko wizarani hapa. Police, magereza, uhamiaji, na fire. Binafsi nilikuwa naona ili kuweka mambo sawa vyombo hivi vipelekwe Wizara ya Ulinzi ili kuvipa nguvu na kuweka Nidhamu...
  15. M

    #COVID19 Ya mapapai kukutwa na Corona yaibuka upya China

    Katika hali ya kuonesha jinsi Dunia inavyotumia mbinu za yule shujaa wa Afrika kukabiliana na Maladhi yenye utata yaliyopewa jina la Covid19 nchi ya China imefanikiwa kubaini matunda yenye virus vya korona yaliyokuwa yanaingizwa China kutoka nchi ya Vietnam Mpaka sasa supermarket kadhaa...
  16. C

    Wizara ya Fedha ifumuliwe upya, ufisadi wake ni msiba mkubwa

    Wakati watanzania wanalia kwa ajili ya tozo na wengine wakizozana kuhusu mikopo, na ugumu wa maisha, Wizara ya fedha inaufisadi wa kutisha. Waziri mkuu alitangazia taifa kugundua wizi wa mabilioni ndani ya miezi 3. Kuanzia March 2021, hadi Mei 2021. Miradi mingi imekwama, na mashirika mengine ya...
  17. J

    CCM kuisuka upya Tanzania One Theatre (TOT) kuendana na ushindani wa muziki nchini

    KUMEKUCHA TOT CHAMA CHA MAPINDUZI KUISUKA UPYA ILI IENDANE NA USHINDANI WA KIMUZIKI NCHINI Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, Jumatatu 27 Disemba 2021 amefanya ziara fupi Kutembelea na kuzungumza na watumishi wa CCM wa kikundi cha Sanaaa...
  18. Mwanaume: Weka Ndoa yako pembeni halafu itazame upya

    Wazee wenzangu wakulugwa tumepigwa saana.... Wasalaam?! Nikiri nilikua na ndoa swafiii, ila sasa imeota mbaya kwakua mwenzangu alinogewa na show ya nje nkaona sio shida nkamwambia ahamie kabisa japo niliumia. Sasa naishi kisela kijana wa watu mwanzo niliwahi majuku kabla miaka hata 30 nshaoa...
  19. Mama umesema tuanze upya na tusameheane lakini.......

    Nani waliompiga lisu risasi? Azory Gwanda na Ben Saanane wako wapi? Walio haribu uchaguzi wa 2020 wanaachwa hvhv? Tuanzie hapa kwanza.
  20. Wapinzani anzeni upya, Rais Samia ni mpya pia

    Chadema wana wivu na Zitto Kabwe kwa kuupiga mwingi mbele ya Rais Samia. Mama Samia alionekana kumuelewa zaidi Zitto kwa lunga na tone aliyotumia kuhusu Mbowe kuliko akina Lisu na Lema. Issue is not what you say but how you say it. Rais Samia hahusiki na sakata la vyama vya siasa kuzuiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…