Wakuu salama,
Natumai MUNGU amewaamsha salama na tuko katika mapambano ya maisha! Kwa wale wagonjwa MUNGU awape wepesi mpone haraka.
Wakuu nimekuja kwenu nina shida moja naamini vichwa humu mtanisaidia, mimi ni mtu ambaye sina marafiki wale wa kusema tunapigiana simu weekend hii wapi etc! Sina...