1. Maganda ya ndizi yenye potasiamu nyingi, zika moja kwa moja chini au kwenye safu ya miraba kwa ajii ya mbolea ya asili ya kioevu.
2. Nafaka/mabaki/ maganda ya kahawa zilizotumika zinafaa kabisa kwa mimea inayopenda udongo wa asidi kama vile waridi au blueberries.
3. Maganda ya mayai yaponde...
Habari gani wakuu?
Leo nimeanza rasmi kuwekeza kwenye M-Wekeza ya Vodacom ambayo inaestmet faida ya takribani 13% kwa mwaka na nimepanga kutenga kila 10% ya pesa yyte itakayoingia kwenye Mpesa yangu.
Kiukweli kwa hili tuna kila sababu ya kuwapa kongole Vodacom mana tunaweza kuwekeza kuanzia...
Kujaribu kumfavor mwanamke unayetaka kumtongoza aisee kosa kubwa saaaana.
1. Umekutana na dada amekaa kwenye siti yako ya dirishani usimuache akae hapo hata kama unataka kumtongoza, mwambie nahitaji kukaa kwenye hiyo siti ambayo nimeshaikatia tiketi. Atakuona ni shujaa, hatokuchukulia poa...
Habari wakuu , watumishi tulioajiriwa huwa tunatamani sana kujishughulisha ili mradi kipato kiongezeke lakini kwa ujumla huwa tunaface Changamoto zifuatazo zinazopelekea kushindwa :-
1. Tuna muda mchache wa kusimamia
2. Watu wengi sio waaminifu tunao waweka kwenye shughuli hizo
3. Tunaogopa...
NAMNA YA KUKOKOTOA SIKU YA KUPATA UJAUZITO NA MZUNGUKO WA HEDHI KWA URAHISI | HOW TO CAN YOU KNOW YOUR MENSTRUAL CIRCLE AND A DAY TO CONCEIVE?
Inaletwa kwenu na Kelvin Nyagawa
Kupitia somo hili dakika 5 baada ya kumaliza kusoma utakwenda kufahamu jinsi ya kuhesabu mzunguko wa hedhi kwa urahisi...
Jambo?
Kwa ulimwegu wa sasa wenye changamoto nyingi za malezi na uzinzi uliokithiri kupita kiasi usije ukajidanganya kuwa mwanamke unaetaka/uliemuoa anakupenda kwa dhati.
Mwanamke aliewahi kuwa na mahusiano kadhaa nyuma huwa anaolewa kwasababu ya vitu na sio upendo wa kweli.
Sasaivi sio jambo...
Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii tangu mwaka 2005.
Hii njia inapunguza kupoteza muda ikilinganishwa na mfumo wa kura za jadi...
Kwa sababu Chanika kuna " uhai" .
Huhitaji kuwa expert wa kusoma alama za anga na alama za ardhi kun'gamua kwamba chanika kuna " uhai" . Kama sauti yako ya ndani ( inner voice) ipo active and effective, siku ukifika Chanika uta detect " uhai" juu ya ardhi ya chanika.
Siku hizi wafanya biashara...
Mimi naamini kati ya mtihani mkubwa ambao mungu amewapa wanawake ni kusubiri atongozwe,maana yake ili kumpata unayemtaka inabidi utongozwe Sana vinginevyo inabidi ukubaliane na yoyte hata kama Hana vigezo unavyo taka.
Hata ivyo katika miaka ya ivi karibuni wanaume wamepunguza kutongoza kwa...
Mkopoa!
Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako
Jinsi ya kupika
vunja mayai Yako katika bakuli weka viungo kias utachopenda pia kulingana na mayai Yako Changanya mayai na viungo...
WATANZANIA WANAHITAJI WAPATE MAFUTA KWA URAHISI - DKT. BITEKO
#Apongeza utaratibu wa upokeaji na upakiaji mafuta
#Ujenzi wa Flow meter Kigamboni wafikia asilimia 93
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili...
Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
Hakuna kazi Rahisi, Kupata pesa inahitaji pesa. Kurisk pesa kiasi kwa mafanikio uko mbele sio kazi rahisi jamani… wenzangu na mie tunaobet tunaelewa hili kabisa. Unaweka mikeka 9 inapumua unaend kupika kaugali unashiba ukirudi tu hivi ni wewe pekee unaepumua tena kwa shida mno😆😂😂😂… Hamna janja...
Hapo vip!
Nimetafakari sana dhidi ya vifo vya watu wa 3,yaani Magufuli, Membe na Sitta.
Nikajiulize kumbe hata miongoni mwa hawa watu watatu ambao walikuwa ndio wanampinga Lowassa, hata mmoja asingeweza kufikisha meli bandarini.
Ila chakujifunza ni kwamba sauti ya wengi huwa ni sauti ya...
Dare es salama jiji lenye joto kali na foleni ndefu nyakati za mchana karibu kwenye barabara zote. Sasa unapokutwa changamoto hii wala usiwe na shaka unachokiwa kufanya ni kuchukua simu yako na kuingia mtandaoni huku ukisubiri foleni ipungue na huko unaweza jiongea wafuasi ushwawishi pamoja...
Kwa nini ulipe gharama kubwa kuandika CV, fahamu kuwa unaweza kuandika cv yako kwa urahisi zaidi popote ulipo na ukaipata .Fuata maelekezo.
1. Ingia kwenye tovuti ndogo My professional CV
2. Nenda sehemu pa View web version.
3. Bonyeza CV form
4. Chukua link ya CV yako.Iandike google search
5...
Habari!
Mwaka jana kabla soko la Mbagala kuungua moto niliingia sokoni ili nipate mahitaji muhimu .
Lile soko lilikuwa chafu na wakati wa mvua linatoa harufu mbaya sana.
Njia za kuingilia na kutokea hazijulukani. Bidhaa ziko hovyohovyo. Huwezi kuingia mara mbili kama hujazoea uchafu.
Jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.