urahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unafikiri Tanzania imefikia sehemu unaweza kununua bidhaa na huduma mitandaoni kwa urahisi?

    Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania?
  2. Jinsi ya kuandaa Business Plan kwa urahisi

    Kwa maneno machache mno , Business plan ni andiko la kibiashara ambalo unaelezea wapi uliko kwa sasa, na wapi unataka kwenda (Future),ukielezea mikakati (strategies) utakayotumia kufika huko kwenye malengo (Goals) uliyojiwekea. Business plan ya biashara moja hupishana na ya mwingine kulingana...
  3. Urahisi wa kupata leseni

    Nina Leseni class A na D Nimesoma Veta PSV ili kupata leseni class C1 cheti kipo. Naomba mwenye connection ya TRA niweze kupata leseni kwa urahisi nataka nipate madaraja A D C1 E Nipo ubungo Dar
  4. M

    SoC02 Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa, ufanywe kwa ufanisi ili Serikali ipate takwimu kwa urahisi

    Kumekuwa na Mfululizo wa Serikali ya Tanzania kudai Taarifa Mhimu za mwananchi anapotaka kupata huduma serikali ambazo kimsingi ni Mzigo kwa Mwananchi huyo, kuwa nazo kwa wakati anaohitaji kupata Huduma. Mfano unahitaji Kutibiwa kwa Njia ya Bima, Utadaiwa Cheti cha Kuzaliwa, cha serikali ya...
  5. SoC02 Mbinu zitakazosaidia Watanzania kuifahamu lugha ya Kiingereza au lugha nyingine yoyote ya Kigeni kwa urahisi

    Wanafunzi wakijifunza lugha ya kigeni | picha na mtandao UTANGULIZI Lugha ya kigeni niile lugha ambayo haipatikani katika jamii ya mjifunzaji na kuwa hawezi kujifunza lugha hiyo bila kufundisha. Niukweli usiopingika kuwa na ufahamu wa lugha nyinginezo za kigeni zaidi ya Ile lugha yako Kuna...
  6. Putin asaini amri inayowapa urahisi wananchi wote wa Ukraine kuomba uraia wa Urusi

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin ametia saini amri ya kupanua mchakato wa kupata uraia wa Urusi kwa raia wote wa Ukraine. Amri hiyo inaamuru kuwa ‘raia wote wa Ukraine’ wapewe haki ya kuomba kuandikishwa kuwa uraia wa Shirikisho la Urusi kwa njia rahisi zaidi. Awali utaratibu kama huo ulikuwa...
  7. Ni benki ipi bora kwa ajili ya savings (yenye makato madogo na urahisi wa upatikanaji n.k) hapa nchini?

    Habari wana JF, Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye internet banking bora. Pia yenye urahis wa kupatikana namaanisha ATM's nyingi. Na je what if mtu akitaka...
  8. Kitabu cha Kingereza cha mtaala mpya kwa wanafunzi kuelewa kingereza kwa urahisi zaidi!

  9. Bunduki zitanunuliwa kwa urahisi nikishinda, DP Ruto asema

    Ruto anasema serikali yake itaweka wazi bajeti ya kununua silaha kama njia moja ya kuwezesha uwazi kwenye biashara ya kununua bunduki Alisema bajeti hiyo huwekwa siri na hivyo kuwa mbinu ya wachache kujitajirisha kwa kufanya udanganyifu wa bei ya bunduki Aliambia viongozi wa kanisa kwamba...
  10. U

    Orodha ya Mambo ambayo yanamtambulisha Muafrika kwa urahisi!

    Wadau nimewawekea orodha happy chini nawewe uwe huru kuongezea Tafadhali lugha ya staha itumike kujadili uzi huu maalumu Karibuni Vyombo vya udongo Kukaa kabatini na kutumika pale tu anapokuja mgeni Kuoigia mswaki nje ya nyumba hasa nyuma Kujisaidia haja ndogo kwenye ndoo au kopo mida ya...
  11. Wawekezaji wasaidiwe kutatua kero kwa urahisi

    Nimesikia muwekezaji mmoja Mkubwa tu ( Vasso Agroventures) kwenye media akilalamikia kutozwa kodi kubwa na zisizo eleweka pamoja na kuingiliwa miradi yake ya uwekezaj na mwaka 2021 amepata hasara ya shs Bilioni 8 huku akiwa ame ajiri wafanyakazi zaidi ya 1000. Wahusika TRA na Kituo cha...
  12. Jifunze jinsi ya kufungua website yoyote iliyozuiwa kwa kutumia kivinjari cha opera

    Ukisafiri baadhi ya nchi, website za muhimu kama za dini huwa zimefungiwa. kuna browser inyoitwa opera, hii ni browser kama ilivyo kwa google chrome, lakini imeboreshwa zaidi kwa kuwekewa ndani yake feature ya vpn, huna haja ya kudownload vpn, ukiwa na opera ushamaliza mchezo. 1. ingia...
  13. Urahisi, Ubora, Huduma; Chagua Viwili

    Rafiki yangu mpendwa, Maisha ni mfululizo wenye machaguo ya kupata na kukosa (trade off). Hata uchague kiasi gani na uwe na mamlaka makubwa kiasi gani, huwezi kupata kila unachokitaka, kwa wakati unaokitaka na kwa namna unavyotaka. Hilo halipo kabisa, lakini ukaidi wetu wa kutaka kupingana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…