uraia wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sa 7 mchana

    Je nikikana uraia wa Tanzania na kupewa uraia wa nchi nyengine mali zangu zitataifishwa?

    Habari zenu wataalam, Tunafahamu Serikali ya jamhuli ya muungano wa Tanzania haitambui uraia pacha. Kwa kesi ya namna hii mali za raia aliebadili uraia mali zake utafishwa. Naomba wabobezi wa sheria watufahamishe.
  2. Heparin

    Simba yatuma rasmi ombi kwa Idara ya Uhamiaji kuomba uraia wa wachezaji wake 9 wa kigeni

    Baada ya wachezaji wanne wa Klabu ya Singida Black Stars kupatiwa uraia wa Tanzania, Klabu ya Simba nayo imetuma maombi rasmi ya kuomba uraia wa wachezaji wake 9 wa kigeni ili wapatiwe uraia wa Tanzania. Klabu ya Simba imedai wachezaji hao wana manufaa kwa nchi hii kwani bado ni vijana...
  3. The Watchman

    Idara ya uhamiaji yatoa ufafanuzi dhidi ya wachezaji wa kigeni Singida Black Stars, wote ni raia wa Tanzania kwa Tajnisi

    TAARIFA KWA UMMA Idara ya Uhamiaji inapenda kutoa ufafanuzi wa taarifa zilizochapishwa na kujadiliwa kwenye mitandao ya kijamii na Vyombo vya Habari kuhusu kupatiwa uraia wa Tanzania wachezaji watatu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Singida Black Stars. Wachezaji wanaotajwa kwenye taarifa hizo ni...
  4. Waufukweni

    Singida Black Stars yawabadilisha Uraia wachezaji wanne wa Kigeni na kuwa raia wa Tanzania ili Kukidhi Kanuni

    Singida Black Stars imewabadilisha uraia wachezaji wake wanne wa kigeni na kuwa raia wa Tanzania, Singida imefanya hivyo ili kukidhi kanuni ya kuwa na wachezaji 12 wa kigeni. Wachezaji hao ambao wamebadili uraia ni Emmanuel Keyekeh, Arthur Bada, Damaro Mohamedi na Golikipa Amas Obasogie...
  5. BLACK MOVEMENT

    Benard Morison ameisha pata Uraia wa Tanzania? Wabongo tupunguze kushobokea mno foreigners

    Linapo kuja swala la kushobokea foreigners basi Watanzania hatuna mpinzani hapa Duniani. Benard Morison naona ushobokeaji umemlipa na ameamua kupiga kambi kabisa anajua hakuna sehemu hata kule keao wanaweza mshobokea zaidi ya Tanzania, na sujui ndio kapewa na uraia mimi sijui. All in all...
  6. B

    Heshima ya kupata uraia wa Tanzania kupitia kazi na uanaharakati wake. Shirley Graham Du Bois

    Historia Shirley Graham Du Bois, Tanzania, na Ulimwengu: Mtu Tajikwa Kati ya Watu Mashuhuri Ulimwenguni Kazi muhimu na michango ya wanawake katika jamii nyingi ulimwenguni mara nyingi hupuuzwa na kupuuzwa. Michango iliyotolewa na Shirley Graham Du Bois kwa historia ya Marekani, utamaduni...
  7. Mjanja M1

    Mzungu ataka uraia wa Tanzania, agoma kurudi kwao

    Hakuna binadamu anaependa Vita wala kubebeshwa silaha, huyu kijana toka Uingereza ameamua kuukana Uraia wake na kumuomba Rais Samia ampatie Uraia wa Tanzania. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  8. The Burning Spear

    Inakuwaje Rais wa Zanzibar anawapa wahamiaji Uraia wa Tanzania?

    Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine. Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania. Kwa nini Rais wa...
  9. Chachu Ombara

    Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema nchi imeandika historia mpya kwa kuwakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319 ambao wameishi nchini kwa zaidi ya miaka 50 wakiwa na asili ya mataifa jirani ya Burundi, Comoro...
  10. R

    DOKEZO Ni kweli hawa wote ni raia wa Tanzania au wamejipatia pasipoti za Tanzania kimakosa?

    Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana. Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
  11. crankshaft

    Huku amepiga magoti, Morison amuomba Rais samia uraia wa Tanzania.

    Katika mahujiano yake na global tv online mchezaji benard morison amemuomba rais samia ampe uraia wa tanzania kwani anajisikia amani na kuthaminiwa sana nchini. pia amesema yupo tayari kuchezea timu ya taifa ya tanzania taifa stars. Source:global tv online
  12. marco polo jr

    Watanzania 38 waukana uraia wa Tanzania

    Habari zaidi angalia kiambatanisho
  13. Averos

    Ni manufaa yapi tunayapata kuwa Raia wa Tanzania?

    Habari, Leo nimekuwa katika tafakuri ya kuangalia ni privilege zipi tunazipata kama Raia wa Tanzania. Hapa namaanisha katika nyanja zote za maisha Mtanzania anapata unafuu upi? Nitoe mifano kidogo Kwa mfano katika huduma za kijamii - Mtanzania anapata unafuu gani katika huduma ya maji...
Back
Top Bottom