Wazee wamecharuka. Wamekasirika. Kifupi wamenuna. Wamefura. Hawataki tena kusikia masela wakiimba na kusifia ganja. Yes! Ni ganja pekee ndio dawa za kulevya zenye promo kubwa kwenye ngoma za Bongofleva. Kuanzia enzi za mikasi mpaka kikohozi cha Konde.
Mtu mwenye akili yeyote ataunga mkono hilo...