This is too contradictory.
Wanaojiita walikole wakiongozwa na KKKT wako radhi kumwabudu au kumheshimu mchungaji wao na kumuona Bikira Maria si chochote wala lolote. Naona hata yesu huwa anawashaa sana.
Bikira Maria kwao wanamuona kama bahasha iliyokuwa ndani ina barua. Baada ya kuitoa barua...