uraibu wa kamari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uraibu wa kamari: Rais wa Brazil atishia kufungia makampuni!

    Rais wa Brazil Lula Da Silva ametishia kuyafungia makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubahatisha kupitia michezo mbalimbali mitandaoni ili kuondoa janga la uraibu lililowakumba raia wake! Hela ya chakula mtu anasukia mkeka! Brazil mulls ban on sports betting Brazilian President Lula da...
  2. Morogoro: Mwanaume mmoja amchoma mwenzake kisu kifuani na kumuua kisa mia 200

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamzuilia Kulwa Bosco, anayejulikana kwa jina maarufu la Rasta, ambaye ni mfugaji mkazi wa Kijiji cha Sinyaulime, Tarafa ya Ngerengere, wilayani Morogoro, kwa tuhuma za mauaji. Inadaiwa kuwa alimuua Hussein Nyabu (35) kwa kumchoma kisu kifuani, kitendo...
  3. Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

    Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum. Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita. Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…