uraibu wa kubeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya waraibu wa kamari, mikeka na kubeti wanaohitaji kuacha na kuepukana na uraibu huu

    Habari ndugu! Nimeleta uzi huu ili uliunganishe jamii ya watanzania ambao wameathirika na uraibu wa kamari na wanaoazimia kuachana na uraibu huu. Kamari/kubeti ni moja ya janga linaloangamiza watanzania na binaadamu kwa ujumla hapa duniani. Ushawishi wa kuingiza watu katika huu uraibu ni...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Je, serikali kupandisha kodi kwenye KAMALI ni njia sahihi ya kusaidia kijana kuondokana na uraibu wa kubeti?

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamisi Mussa Omar amesema Serikali inapendekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia 5 kwenye thamani ya dau la kamari (gaming) linalochezwa kupitia michezo ya kubashiri ya ardhini au mtandaoni, michezo ya kasino ya ardhini au mtandaoni, mashine za sloti...
  3. JamiiForums Tanzania Bodi ya michezo ya bahati nasibu Inashughulikiaje Vijana wanaopata Uraibu?

    Tasnia ya michezo ya bahati nasibu imekuwa ikikuwa kwa kasi, japo hatujafikia zilipo nchi Kama Kenya , Uganda, South Africa, Ghana na , Nigeria lakini sio haba, tumekusanya zaidi ya bilion 200 kwenye mapato TRA , pamoja na faida hiyo sio ajabu kuna mahali imeacha kilio na majuto , pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…