urais 2030

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Pre GE2025 Rais Samia ataenda mpaka 2035? Na kama ataishia 2030, Makamo Nchimbi naye ataishia 2030(miaka 5) au atagombea Urais 2030?

    Haya mambo haya ndio yanafanya MTU akitwae Kiti hata kama ni Kwa Hila. Kama Rais Samia ataishia 2030, Makamo wake atakubali habari zake za Siasa kuishia hapo, na kwa kua atakua keshajijenga, Mkutano Mkuu ukiamua kama ulivyoamua majuzi Mgombea kua Mmoja, itakuaje? Kwa Kumtoa Mh Nchimbi kwenye...
  2. Q

    Fatma Karume: Samia Suluhu hawezi kugombea URAIS 2030, Katiba inamzuia

    Ibara ya 40(4) ya Kiswahili. Endapo makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea...
  3. Buzi Nene

    Mohamed Mchengerwa anaweza kuwa mgombea wa urais 2030

    Namuona huyu waziri angalau ukilinganisha na wengineo, yeye anaonekana ana haiba ya uongozi, hana longolongo nyingi sana maneno kidogo vitendo vingi, kama akiendelea na hii kasi yake. Namuona kabisa 2030 Chama cha Mapinduzi wakimsimamisha kama mgombea wa Urais na mimi nitampigia kura. Binafsi...
  4. Seven77

    Pre GE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

    Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50. Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia...
  5. T

    Pre GE2025 Waziri Bashe ni tishio kwa wasaka Urais 2030

    Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua kwenye mitandao ya kijamii. Unapoona Kigogo anamchafua Bashe ujue ni sehemu ya mkakati huo...
  6. D

    Ridhiwani Kikwete anaandaliwa Urais 2030?

    Wana JF, hizi taarifa nimezipata kwa mtu mkubwa sana ndani ya TISS na ambaye amewahi kuwa kigogo wa idara hiyo. Ameniambia Mzee Jakaya Kikwete ndiye yuko nyuma ya Mpango huu na sehemu kubwa ya vigogo ndani na nje ya idara. Moja ya mkakati ulifanikiwa ni kuhakikisha baada ya sheria ilikuwa...
  7. MAGAMBA MATATU

    Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara Nyeti 2025 na Mgombea Urais 2030

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakati inatakiwa uwe...
  8. MAGAMBA MATATU

    Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

    Kwanza Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri, Pili Nawasalimu Kwa jina la CCM , Tatu karibu sana Brother, nakutaja mara tatu Makonda, Makonda, Makonda. Nchi ilikosa mtu mwenye neno lenye maamzi,na Zaid Mkoa wa Dar ilipoa sanaaaa,, Narudia karibu sana Lumumba head office bro. Kuna wakat inatakiwa uwe...
  9. U

    January Makamba anafaa kugombea Urais 2030

    #JanuaryMakambaForThePresidency2030 Wadau hamjamboni? Ukweli lazima usemwe tu haya kama muda wa kuusema haujafika. Ndiyo January Malamba ndiye chaguo sahihi la Watanzania kuelekea 2030 Naam anazo sifa zote, uchapakazi, weledi, uzoefu wa kutosha kuanzia awamu ya 3 hadi sasa. Anao uzoefu...
  10. D

    Mwigulu Nchemba sahau Urais 2030, Wewe ni Radical kuliko Hayati Magufuli

    Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana Aendelee kuwa chini ya watu wengine
  11. troiker

    Medard Kalemani kazi nzuri aliyoifanya nishati anaondolewa ili Makamba aingie kumalizia kiulaini na sifa ziwe zake kuelekea Urais 2030

    Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa. Usimamizi mzuri wa JNHP huko rufiji. Baada ya Samia kukamata hatamu tumeshuhudia nguvu ya matajiri kupanga safu maeneo nyeti ya raslimali...
  12. J

    Urais 2030: Dkt. Mwigullu Nchemba na January Makamba wana nafasi nzuri kuliko Dkt. Hamis Kigwangalla

    Ikumbukwe hawa vijana wadogo watatu Mwigulu, January na Kigwangalla waligombea urais 2015 japo safari yao iliishia kwenye kura za maoni. Niliwapa jina la Three the Hard Way. Safari inaendelea japo naona Dkt. Kigwangalla ameachwa nyuma kidogo lakini kwenye Marathon ushindi ni mbinu na ujanja so...
Back
Top Bottom