Haya mambo haya ndio yanafanya MTU akitwae Kiti hata kama ni Kwa Hila.
Kama Rais Samia ataishia 2030, Makamo wake atakubali habari zake za Siasa kuishia hapo, na kwa kua atakua keshajijenga, Mkutano Mkuu ukiamua kama ulivyoamua majuzi Mgombea kua Mmoja, itakuaje?
Kwa Kumtoa Mh Nchimbi kwenye...
Ibara ya 40(4) ya Kiswahili.
Endapo makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea...
Namuona huyu waziri angalau ukilinganisha na wengineo, yeye anaonekana ana haiba ya uongozi, hana longolongo nyingi sana maneno kidogo vitendo vingi, kama akiendelea na hii kasi yake.
Namuona kabisa 2030 Chama cha Mapinduzi wakimsimamisha kama mgombea wa Urais na mimi nitampigia kura.
Binafsi...
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia...
Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine
Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua kwenye mitandao ya kijamii.
Unapoona Kigogo anamchafua Bashe ujue ni sehemu ya mkakati huo...
Wana JF, hizi taarifa nimezipata kwa mtu mkubwa sana ndani ya TISS na ambaye amewahi kuwa kigogo wa idara hiyo.
Ameniambia Mzee Jakaya Kikwete ndiye yuko nyuma ya Mpango huu na sehemu kubwa ya vigogo ndani na nje ya idara. Moja ya mkakati ulifanikiwa ni kuhakikisha baada ya sheria ilikuwa...
Kwanza nawasalimu kwa jina la Jamhuri, pili nawasalimu kwa jina la CCM, tatu karibu sana brother, nakutana mara tatu Makonda, Makonda, Makonda, nchi ili kosa mtu mwenye neno lenye maamuzi, na zaidi Mkoa wa Dar ulipoa sana. Narudia, karibu sana Lumumba head office bro.
Kuna wakati inatakiwa uwe...
anafanya
ccm
kati
kazi
kuliko
kupeleka
magu
makamu
makamu wa rais
makonda
maonesho
mgombea
mgombea urais
msaidizi
na rais
nape
nyeti
ofisini
rais
ripoti
siku
tofauti
uraisurais2030
waziri
wenyewe
wizara
Kwanza Nawasalimu Kwa jina la Jamhuri,
Pili Nawasalimu Kwa jina la CCM
,
Tatu karibu sana Brother, nakutaja mara tatu Makonda, Makonda, Makonda. Nchi ilikosa mtu mwenye neno lenye maamzi,na Zaid Mkoa wa Dar ilipoa sanaaaa,, Narudia karibu sana Lumumba head office bro.
Kuna wakat inatakiwa uwe...
#JanuaryMakambaForThePresidency2030
Wadau hamjamboni?
Ukweli lazima usemwe tu haya kama muda wa kuusema haujafika.
Ndiyo January Malamba ndiye chaguo sahihi la Watanzania kuelekea 2030
Naam anazo sifa zote, uchapakazi, weledi, uzoefu wa kutosha kuanzia awamu ya 3 hadi sasa.
Anao uzoefu...
Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana
Aendelee kuwa chini ya watu wengine
Kalemani akiwa Waziri wa Nishati kapambana sana chini ya hayati Magufuli kukomesha mgao wa umeme ,kadhalika kusambaza umeme vijijini kwa bei nafuu kabisa.
Usimamizi mzuri wa JNHP huko rufiji.
Baada ya Samia kukamata hatamu tumeshuhudia nguvu ya matajiri kupanga safu maeneo nyeti ya raslimali...
Ikumbukwe hawa vijana wadogo watatu Mwigulu, January na Kigwangalla waligombea urais 2015 japo safari yao iliishia kwenye kura za maoni.
Niliwapa jina la Three the Hard Way.
Safari inaendelea japo naona Dkt. Kigwangalla ameachwa nyuma kidogo lakini kwenye Marathon ushindi ni mbinu na ujanja so...