Ni kwa mara nyingine Trump anaukataa mshahara wa Urais, dola 400,000 kwa mwaka (shilingi bilioni 1 na milioni 40) ili usaidie wenye uhitaji na shughuli za kimaendeleo.
Kama ilivyokuwa katika muhula wake wa kwanza (2916 - 2020) mshahara wake utaendelea kusaidia wahitaji kwenye idara ya afya...
Donald Trump (78) ndiye rais mteule wa Marekani baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi ulifanyika Jumanne ya Novemba 5 mwaka huu nchini humo
Kabla ya ushindi wake mwamba huyo Trump alikuwa akikabiliwa na kesi mbili tofauti awali alifikishwa mahakani kwa kosa la kutumia ofisi ya Serikali...
Ni kwamba mifumo inavipa nguvu vyama vichache ili kurahisisha vetting, mifumo inachagua yupi atafaa zaidi kuongoza taifa, hii ni Demokrasia ya aina yao.
Kwa kifupi ni kwamba mifumo ya kiusalama ipo kwa ajili ya Taifa sio Chama na tusitegemee kuona civil war USA labda baadae sanaa.
Imetangazwa dakika chache zilizopita na vyombo vya Habari
=====
UPDATES:
=====
Rais wa zamani Donald Trump kutoka chama cha Republican, ameshinda Uchaguzi wa Marekani.
Chanzo: Spectator Index
Donald Trump ameoa mara tatu, Ivana na Marla Maples, mke wa kwanza na wa pili mtawalia ambao wote...
Usiku wa kuamkia leo Jumatano Septemba 11, 2024 wagombea urais wa Marekani, Donald Trump (Republican) na Kamala Harris (Democratic) wamefanya mdahalo wa kutoa hoja zao mbele ya wananchi huku wakinyukana kwa hoja.
Mdahalo huo ulioandaliwa na kituo cha luninga cha ABC, mbali na hoja za wagombea...
Wataalamu wanaamini kuwa kuna majimbo machache tu ambayo yanaweza kumuwezesha mgombea wa Democratic Kamala au mpinzani wake wa Republican, Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu wa Marekani hapo November.
Sita kati ya majimbo hayo-Arizona, Georgia, Michigan, Nevada, Pennsylvania na Wisconsin -...
Wanaukumbi.
MAREKANI: Rais Joe Biden ametangaza kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwania Urais kwa awamu ya pili
Kwa hatua hiyo, Chama cha Democrats kitatakiwa kuchagua Mgombea mwingine.
=====
Rais wa Marekani Joe Biden ametangaza kuwa hatagombea tena urais, akisema "ni kwa manufaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.