Ndugu zangu Watanzania,
Kama kuna kazi ngumu na nzito na yenye majaribu mazito na mitihani ya kila aina na yenye kukuweka roho juu juu na presha muda wote basi kazi hiyo ni ya Urais. ni kazi nzito ,ni msalaba Mzito ambao mtu hujitwisha Mabegani mwake Ni kazi inayokufanya ukose usingizi,kukosa...