urais tls

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Wakili Nkuba linda heshima yako, msapoti wakili Mwabukusi

    GTs, Ni heshima iliyoje kuona haki imetendeka na tena kwa uwazi kabisa kwa kijana Wakili Mwambukusi kuibuka mshindi. Ni dhahiri Wakili Nkuba hakuwa kabisa na uwezekano wa kushinda. Najua michezo yetu wana CCM ya kupenyezana kila sehemu ila hapa tukubali tumeshindwa na ndiyo maana nakuomba...
  2. Mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby, ina maana walishajipanga mapema kutupa matokeo ya mchongo Urais TLS?

    Wakuu, Dodoma huko mambo ni moto. Kura wamemaliza kupiga saa 8 lakini mpaka sasa matokeo hola. Kura zenyewe ziko elf 2 tu, nini kinawafanya wachukue muda mrefu hivyo? Unaambiwa mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby kama kikinuka waingilie kati! Mpaka wamejitayarisha na polisi...
  3. B

    Kuna kampeni zinaendelea chinichini za kumfanya Mwabukusi asipigiwe kura kwenye uchaguzi wa Rais wa TLS

    Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) kinarajia kufanya uchaguzi wake mkuu hivi karibuni Jijini Dodoma kumchagua rais wa kuongoza chama hicho kwa kipindi cha mwaka mmoja Wagombea halaii waliopitishwa kupigiwa kura kwenye nafsi hiyo ni sita kati ya hao Wakili machachari Boniface Mwambukusi ni...
  4. Mdahalo wa Wagombea Urais Chama cha Mawakili Tanzania Bara (TLS) mwaka 2024

    Recorded video🎥👇🏼 https://www.youtube.com/live/Ykazv1aguT4?si=slkP5hyLZuX3MQsS MASUALA MUHIMU YALIYO ZUNGUMZWA Jambo kubwa zaidi lililozungumzwa na wagombea wote ni suala la mamlaka na wajibu wa TLS kama ilivyoelezwa katika Kifungu cha 4 cha Sheria ya TLS. Hata hivyo, mbali na hilo, kuna mambo...
  5. J

    Boniface Mwabukusi ashinda kesi dhidi ya Tanganyika Law Society. Ruksa kugombea Urais wa Chama hicho

    Kesi ya Boniface AK Mwabukusi kupinga kukatwa kwenye Uchaguzi wa Rais wa Tanganyika Law Society kutolewa hukumu leo pale Mahakama kuu ya Tanzania Jumaa Mubarak 😃 ---- Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Julai 26.2024 imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa imefunguliwa na...
  6. Mahakama yaridhia Wakili Mwabukusi afungue kesi ya kupinga kuenguliwa kuwania Urais TLS

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemruhusu wakili Boniface Mwabukusi kufungua shauri la marejeo ya uamuzi uliomwengua kwenye orodha ya wagombea urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). Hata hivyo, imekataa ombi la kusimamisha mchakato wa uchaguzi huo ambao sasa utaendelea kama...
  7. Mwabukusi: Kamati ya Nidhamu ilinihukumu sababu ya kukosoa viongozi wa juu wa serikali, hakuna aliye juu ya Sheria na Katiba

    Mwabukusi anasema aliadhibiwa kwa kwenda kinyume na maadili sababu ya kuwakosoa viongozi wa juu kwenye mkataba wa DP World, kuwa mkataba unaoiba rasilimali za tanganyika kiyume cha sheria. Mwabukusi ameyasema hayo katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya kamati kufafanya maamuzi ya...
  8. Mwabukusi afungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya TLS kumuengua kugombea Urais wa TLS

    Wakili Boniface Mwabukusi amefungua kesi kupinga maamuzi ya Kamati ya Rufaa ya Chama cha Tanganyika Law Society (TLS) kumuengua kugombea Urais wa TLS. Pia soma: Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi imemuengua Boniface Mwabukusi kugombea nafasi ya Rais wa TLS Ikumbukwe Mwabukusi alifikishwa kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…