urais wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Dkt. Hussein Mwinyi ndiye atakayekuwa mgombea mwenza wa CCM wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo 2030

    Kwa Neema na Baraka za Mungu wakati huo, Dr.Emmanuel Nchimbi ndie atakae kua mgombea urais kupitia CCM, anakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi wote na waTanzania wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania. Ni muhimu sana kwa wale wote ndani ya CCM, wenye nia ya kugombea nafasi hizo muhimu za...
  2. Lord denning

    Nipeni Urais wa Tanzania muone namna gani CCM wametuchelewesha!

    Nitafanya mambo matano muhimu. 1. Kuufanya Arusha kuwa Mji wa Taasisi za Kimataifa Afrika ambapo Taasisi zote za kimataifa zitapewa maeneo ya kujenga Ofisi zao na Makazi ya Wafanyakazi wao Arusha- Kupitia hili nina uhakika wa kuingiza fedha nyingi sana za kigeni pamoja na kutengeneza ajira za...
  3. Tlaatlaah

    Lissu kupata uenyekiti wa chadema kumemshinda na itakua ni ndoto za kimweri kuupata, nadhani kupata urais wa Tanzania itakua ni ndoto za alinacha

    Ni wazi kwenye nafasi ya uenyekiti wa chama Taifa anayogombea, anapingwa vikali sana kwenye chama chake, na kwahiyo tunaweza kuhitimisha kwamba hataweze kupewa ridhaa hiyo na wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema. Ni dhahiri, hekima, busara na mdomo wa huyo muungwana is completely not...
  4. Mindyou

    Rais Samia athibitisha kuna uhaba wa Shilingi nchini. Bila ya kifo cha Mafuru tungelijua hili?

    Wakuu, Kumbe nchi ina uhaba wa sarafu za Shilingi na hatuambiwi? Siku ya Leo akiwa msibani kwa Lawrence Mafuru Rais Samia alikumbushia amekumbushia kipindi ambacho kulikuwa na uhaba wa Shilingi na Mafuru alivyohusika katika kusaidia taifa kupita katika kipindi hiko. "Badala ya kulalamika Nchi...
  5. K

    Tunapoendelea uko mbele urais wa Tanzania utakosa thamani?

    Niaonayo yanayoendelea hapa Tanzania uko mbele urais wa Tanzania utakuwa kitu cha kawaida na utakosa thamani . Kwa sasa urais wa Tanzania ndio unatafuta umaarufu badala ya umaarufu kuufuata urais . Ndio maana uelekeo wa siasa za Tanzania ni kutafuta umaarufu kwa gharama yoyote hata kwa kutumia...
  6. R

    Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

    Salaam, Shalom!! Historia inatuambia, Ufalme ulipomtaka Daudi, ulimfuata porini akichunga Kondoo wa baba yake aliyekuwa mfugaji na Mwananchi wa kawaida. Urais au Ufalme ni title na Cheo Cha Mungu Mwenyewe, ndio maana waisraeli walipoomba wapewe mfalme, Mungu alisema, watu Hawa wamenikataa...
  7. J

    Kutokea Mambo ya Nje Mkapa na Kikwete walifanikiwa kuwa Rais wa JMT, Salim Ahmed Salim, Migiro na Membe Walifeli. Makamba Jr atafaulu?

    Tunakumbushana tu Kwani hadi sasa Wizara ya Mambo ya Nje ndio inaongoza kwa kutoa Marais Wawili waliongozana hayati Mkapa na mzee Kikwete Lakini MFA inatamba sana kwenye 3 Bora za Kura za Maoni Je, Safari ya CCM kumpeleka January Makamba Ikulu ndio imeanza? Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Back
Top Bottom