urambo

Urambo is one of the seven districts of the Tabora Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Kaliua District, to the east by the Uyui District, to the southeast by the Sikonge District, and to the southwest by the Katavi Region. Its administrative seat is the town of Urambo.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    Naibu waziri nishati: Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Urambo, Tabora umekamilika

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora umekamilika. Kapinga ameyasema hayo leo Februari 07 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la la Mbunge wa Urambo, Mhe. Margaret Sitta...
  2. Kaplizer

    KERO Mgao mkali Wa umeme Urambo, Kaliua, Biteko tusaidie mitaji inakufa..

    Kiukweli wafanyabiashara na wakazi wa Kaliua na Urambo tunateseka sana.. umeme kwa siku unakatwa zaidi ya mara nne na kiukweli haukai zaidi ya saà sita. Kibaya zaidi TANESCO huku hawana lugha nzuri na huduma mbovu. Saluni na biashara nyingi za umeme zimekufa. Msaada wenu Mods Uzi huu uwafikie...
  3. Lanlady

    Kwa wakazi wa Urambo wanawafahamu hawa manabii, ni nini mnakifahamu zaidi kuwahusu?

    Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo. Kwa anayewafahamu anisaidie
  4. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kainja na Wanawake wa UWT Wilaya ya Urambo

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew leo tarehe 14 Julai, 2023 ameendelea na zoezi la Ugawaji wa fedha za miradi ambapo amefanikiwa kukutana na kuwakabidhi Wajumbe Wote wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kutoka Kata 18 zilizopo Wilayani Urambo. Tukio...
  5. K

    Hivi Urambo kuna viongozi kweli?

    Jamani viongoz i wa Urambo kuanzía Mkuu wa Wilaya, mkurugenzi na Baraza la madiwani mnaruhusu gereji za pikipki kuzagaa kila mahali kwenye ka mji kenu yaaani mmekosa eneo moja la kufunguà gereji kila anaehitaji huduma aifate mahali rasmi. Kamji kachafu kamejaa oil chafu za pikipik mara ya...
Back
Top Bottom