uranium

  1. green rajab

    Urusi yaiwekea Marekani vikwazo vya kuagiza Uranium

    Serikali ya Urusi imeiwekea Marekani Vikwazo vya kununua Uranium toka Urusi. Urusi imeweka vikwazo kwenye uagizaji wa uranium iliyotajwa kwenda Marekani, serikali ilisema Ijumaa, jambo linaloweza kuleta hatari za upungufu kwa mimea ya nishati ya nyuklia ya Marekani, ambayo mwaka jana iliagiza...
  2. State Propaganda

    Kampuni ya Askari Metals iliyopata kibali uchimbaji wa Urani Dodoma kupitia Eyasi Uranium Project inamilikiwa na nani?

    Kampuni hiyo ya Askari Metals kupitia kampuni yake tanzu ya tanzania ujulikanayo kama Infinum Uranium so far tunaweza kusema imekwisha pata "baraka" zote za uwekezaji kutoka serikali ya SSH. Kwa kuanza, kampuni hiyo itafanya utafiti wa sampuli za miamba na geographia kabla ya kuanza uchimbaji...
  3. kimsboy

    Iran yanunua tani 300 za Uranium kutoka Niger kuwapa makombora na Drone pia

    [https://images][https://images]Jerusalem Post [https://images] Middle East [https://images] Iran News Iran bought 300 tons uranium from Niger for illicit nuke weapon program - report The London-based independent news organization Iran International published a report in early June about...
  4. MINING GEOLOGY IT

    Madini ya Uranium yenye faida kubwa na hatari kubwa

    Uranium ni elementi ya kemikali yenye alama ya kikemia U na namba atomia 92 katika jedwali la elementi. Ni metali tekevu yenye rangi ya kijivu-nyeupe na ina uwezo wa kuwa na mionzi ya sumaku umeme. Uranium ni mojawapo ya elementi zinazopatikana kiasili duniani na iliumbwa wakati wa michakato...
  5. Lady Whistledown

    UPDATE: Uranium ilipotea Libya yapatikana katika Mpaka wake na Chad

    Vikosi vya Kijeshi mashariki mwa Libya vinasema kuwa wamepata takriban tani 2.5 za madini ya Uranium, karibu mwa mpaka wa Nchi hiyo na Chad, ambayo yaliripotiwa kupotea na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki - Mnamo Machi 16, 2023, Shirika hilo lilitoa tangazo la tahadhari baada ya...
Back
Top Bottom