Habari wakuu,
Tanaambiwa kuwa moja ya kazi ya mbio za mwenge ni kung'mua miradi iliyojengwa chini ya kiwango na kukataa kuifungua.
Japo kuna mkaguzi mkuu(CAG), wakaguzi wa ndani(Internal Auditors), kamati za bunge, TAKUKURU, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa lakini bado na Mwenge unatumika kukagua...