Serikali ya Uingereza imesema itakutana na maafisa nchini Uturuki kujadili kanuni kuhusu utalii wa kimatibabu na urembo, baada ya vifo kadhaa kutokea.
Melissa Kerr, 31, alifariki dunia katika Hospitali binafsi ya Medicana Haznedar mjini Istanbul 2019 wakati wa upasuaji wa kuongeza makalio, BBL...