Serikali ya Ureno imepanga kuzinduzi sarafu mpya, CR7 Euro kumuenzi mfungaji bora wa timu yao ya taifa, Cristiano Ronaldo. Sarafu hii itakuwa ni ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa Ronaldo kwa taifa la Ureno.
Cristiano Ronaldo ndiye mfungaji wa muda wote wa timu ya taifa ya Ureno, akiwa...
Serikali ya Ureno imeripotiwa kuwa imetoa sarafu yenye picha ya sura ya Staa wa Taifa hilo Cristiano Ronaldo (39) kama ishara ya kutambua mchango wake katika Taifa hilo.
Sarafu yenye sura ya Ronaldo inajulikana kwa jina la “CR 7” na thamani yake ni euro 7, serikali ya Ureno imefanya hivyo...
TANZANIA inafahamika saana Portugal kuliko nchi nyingi za Afrika.
Nimecheki video fulani YouTube ya ask Portuguese about Afrika.
Watu walikuwa wanataja nchi wanazo sifahamu kutoka Afrika watu wengi wametaja Tanzania kuliko nchi yeyote kutoka Afrika.
Na ndiyo mara ya kwanza kuona TZ imetajwa...
Hili taifa la Morocco wana kila sababu kujiita ni watu wa Ulaya!
Umbali kutoka fukwe za Morocco na Uhispania iliyoko bara la ulaya ni 14km tu! Umbali huu unaruhusu muingiliano rahisi sana kama ilivyo Pemba na Unguja!
Koo nyingi za uhispania wameoleana na Wamorocco kama ilivyo kwetu bara na...
Tuseme ukweli, Ufaransa haina cha zaidi kuliko hispania wala ureno!
Siyo muujiza kwa Morocco kuifunga ufaransa kama iliweza kuifunga hispania. Kwanza Ufaransa ndio wako kwenye presha ya mchezo kuliko m
Morocco!
Afrika tujiandae kupokea kombe, maana lazima litembezwe kila nchi ya Afrika.
Wakuu kabla ya kuangalia nani ni best player duniani, twende nchi kwa nchi basis.
Tuanze na Ureno.
Kwangu mimi pale Ureno, Best player kwenye hiyo nchi ni Bruno Fernandez, wewe unadhani ni nani?
Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo anataka kuchukua hatua hiyo kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na kocha wake wa timu ya taifa ya Ureno, Fernando Santos.
Mshambuliaji huyo alianzia benchi katika mchezo wa Hatua ya 16 Bora dhidi ya Uswisi, inaelezwa kuwa amechukizwa na maamuzi hayo na mpaka...
Watu wanasema eti Morocco atavunja rekodi na kuingia nusu fainali, lakini baada ya kuiona Ureno jana, waanze kufungasha mabegi tu mapema, na yule mshambuliaji wao butu.
Portugal asipofika fainali, nimekaa palee!
Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni Kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno.
Ureno inasonga mbele zaidi na inaonekana ni wazi bila hata Ronaldo timu inaweza kufanya vizuri tu,
Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U.
Jana R7 kaibuka man of the match (mchezaji bora kwenye mechi)!!. Mchango wake kwenye mechi ulikuwa mkubwa sana...
Nimeona niwape kidogo mbinu Yanga ili kuisaidia timu kuvuka hiyo hatua muhimu.
Kwanza nawasalimu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Ulaya hasa Ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka ya 2000 hadi 2013. Katika hiki kipindi soka la Ulaya lilikuwa sio la kisport sport. Ilikuwa ni balaa sio kama sasa...
Hali ya Joto kali imeendelea barani Ulaya ambapo inakadiriwa watu 1,063 wamefariki kutokana na hali hiyo kati ya Julai 7-18, 2022.
Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Ureno ambapo Nchi kiwango cha juu cha Joto kilifikia Nyuzi Joto 47C kikiwa ni cha juu zaidi Nchini humo kuwahi...
Takwimu: Mechi 1,097, mabao 801.
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia kufunga mabao 800 ya kiwango cha juu katika maisha yake ya soka alipoifungia Manchester United mabao mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Arsenal siku ya Alhamisi.
Ilikuwa ni jibu la kawaida la...
Timu ya Ureno chini ya nahodha Ronaldo itafanikiwa kutetea ubingwa wa mataifa ya Ulaya. Japo waliteleza kwa kujifunga mabao mawili dhidi ya Germany na yakawachanganya hadi kupoteza mechi hiyo, lakini kikosi chao kimekamilika sana.
Dalili kuwa watabeba kikombe itaonekana watakapocheza na kinara...
Under the current Portuguese Nationality Act (Law 37/81), persons who reside in Portugal for at least 6 years can obtain Portuguese citizenship.
Acquisition of residence permit is stipulated by Golden Residence Permit Programme through the implementation of a financial...
Mchezo wa fainali ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Ulaya kati ya Manchester City na Chelsea utahamishiwa Ureno kutokana na UEFA na Serikali ya Uingereza kutofikia muafaka wa mchezo huo kuchezwa Wembley
-
UEFA ililazimika kutafuta uwanja mbadala kutokana na mlipuko wa ugonjwa #COVID19 katika nchi...
Ureno itapeleka wanajeshi nchini Msumbiji katika kipindi cha nusu ya mwanzo ya mwezi Aprili kufuatia shambulizi la wanamgambo wa itikadi kali lililofanywa dhidi ya mji wa Palma.
Wanajeshi hao wa Ureno watakuwa na jukumu la kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa Msumbiji kwa mujibu wa ripoti...
Habari Wanajamvi
Serikali ya Ureno imewapatia wahamiaji wote waliokuwa wanaishi nchini humo bila vibali, vibali vya kuishi. Pia imeenda mbali na kuwapa wote ambao maombi yao yalikuwa processed pamoja na wale walionyimwa. Pia imehusisha asylum seekers wote. Na wote watapewa haki sawa kama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.