urithi wa mali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BradFord93

    Ndugu zangu hawataki tukarabati nyumba ya wazazi wetu. Pesa iliyopo wanataka tugawane, naombe mawazo yenu

    Sisi tumezaliwa wa4 Bahati mbaya wazazi wamefariki na wakatuachiia nyumba 5...! Wa3 kati yetu kila mtu ana maisha yake ila mmoja yupo kwenye nyumba mojawapo huku zingine tumepangisha Sasa hapa juzi kati tumepiga dili la kama milioni 5 hivi na wakati tunasubiri dili likae tulikubaliana kuwa...
  2. J

    Archraf Hakimi: Hii ndo sababu ya mimi kuhamishia mali zangu kwa mama yangu mzazi nilipoona dalili za kutopendwa na mke wangu wa zamani

    Mchezaji wa timu ya Morocco pamoja na PSG Hakimu aelezea sababu zilizo mpelekea kubadilisha jina lake kwenye urithi wa mali zake zote kwa mama yake mzazi na kusema Nilifunga ndoa na mke wangu wa zamani, Hiba Abouk kuanzia 2020 hadi 2023 Lakini niligundua kuwa alikuwa akitafuta pesa zangu miezi...
Back
Top Bottom