urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Upepo wa Pesa

    Kama Urusi anapigana na Ukraine kwanini USA anahaha na maridhiano?

    Watu wanchekesha sana, eti Urusi anapelekeshwa na kanchi kadogo ka Ukraine! Huwa nasema siku zote kwamba Urusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 pale Ukraine. Ukraine ipo tu pale kama platform, kama uwanja wa vita baina ya NATO na Urusi. Hata Trump alimwambia Zelensk kama sio USA basi vita...
  2. chizcom

    Siku hizi siwasikii tena Warusi wa Mbagala na Buza kama ilivyokuwa mwanzoni vita vya Ukraine na Urusi

    Kulikuwa na asili ya Warusi waishio Mbagala na Buza ni jina walilopewa kwenye mijadara ya mitandao ya kijamii mpaka hapa JF. Hawa Warusi wa Buza na Mbagara kipindi vita inaanza tulikuwa tunawagopa sana kwa habari zao na jinsi walivoipa urusi uchambuzi na propaganda zao kuhusu putin. Ila mpaka...
  3. U

    Kesho Jumatatu Iran itafanya mazoezi makubwa sana ya kijeshi na Urusi na China ikiwa ni maandalizi ya utayari

    Wadau hamjamboni nyote? Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
  4. Ritz

    Trump anasema ataiwekea Urusi vikwazo vikubwa, vya ushuru kumaliza vita vya Ukraine.

    Wanaukumbi. Machi 7 (Reuters) - Rais wa Marekani, Donald Trump alisema Ijumaa "anazingatia sana" kuweka vikwazo vikali, vikiwemo vile vya benki, na ushuru kwa Urusi hadi makubaliano ya kusitisha mapigano na amani yafikiwe na Ukraine. Trump pia amesitisha usaidizi wa kijeshi na ushirikiano wa...
  5. Wakusoma 12

    Hungry kuondolewa haki ya kupiga kura kwenye bunge la umoja wa ulaya kwa kujiweka kwake karibu na Urusi

    Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja. Hatua ya Bunge la Ulaya ya kuiondolea Hungary haki ya kupiga kura siyo tu inayostahili bali pia ni...
  6. kavulata

    Kinachoendelea Vita ya Urusi na Ukraine, Africa lazima iwe na sera Moja ya mambo ya nje

    Bila ya kuwa na sera Moja ya mambo ya nje Africa haitoboi.
  7. Rorscharch

    Wanaodhani Lengo la Putin ni kuchukua Ukraine Kisha Kutawala Ulaya Wanajidanganya – Hiki Ndicho Kitakachotokea Vita Vikilipuka Kati ya Urusi na NATO

    UTANGULIZI: JE, VITA KATI YA NATO NA URUSI VINAWEZEKANA? Mvutano kati ya NATO na Urusi umeongezeka tangu kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti, lakini kwa kiwango kikubwa zaidi baada ya Urusi kuivamia Ukraine mnamo 2022. NATO ilipanua wanachama wake hadi mipaka ya Urusi, huku Urusi ikijibu kwa hatua...
  8. Jidu La Mabambasi

    Tanzania tujifunze hili somo la vita ya Ukraine na Urusi: vita vyaweza kuuza nchi

    Kama kuna kitu nimejifunza kutokana na kurushiana maneno kati ya Trump na rais wa Marekani na Zelensky wa Ukraine, ni kwamba vita vinaweza kusanbabisha mtu kuuza nchi yake. Marekani imetumia pesa nyingi kumsaidia Ukraine kupambana na Urusi. Pesa hizo ziko kwa mfumo wa vifaa vya kijeshi na...
  9. Yoda

    Marekani yaungana na Russia, Korea Kaskazini na Belarus kupinga azimio la Umoja wa mataifa kulaani uvamizi wa Russia

    Hakika hizi ni zama mpya, Marekani imeungana na mataifa kadhaa ya hovyo kupinga azimio la baraza la usalama la Umoja wa mataif(UN) lililowasilishwa na Umoja wa Ulaya kulaani uvamizi wa Russia nchini Ukraine na kuitaka iondoe majeshi yake Ukraine. Hata hivyo azimio hilo limepita kwa wingi ws...
  10. H

    Ajali ya Nyambizi ya Superpower Urusi “Kursk“ mwaka 2000

    Mnamo tarehe 12 Agosti 2000, nyambizi ya K-141 Kursk, nyambizi ya manowari ya Kirusi ya darasa la Oscar II, ilizama katika Bahari ya Barents, na kuua watu wote 118 waliokuwemo ndani. Ajali hiyo ilisababishwa na hitilafu katika torpedo ya aina ya 65-76, ambayo ilisababisha mlipuko mkubwa ndani...
  11. Yoda

    China ni maswahiba wa Urusi ila raia wake wamajaa Marekani kuliko Urusi!

    Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa. Kuna raia takribani milioni tano na nusu wa China nchini Marekani wanoishi na kufanya kazi huko wakati kuna raia...
  12. Ritz

    Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

    Wanakaumbi. 🇺🇲🇷🇺 Marekani na Urusi zitaanza mazungumzo nchini Saudi Arabia ili kumaliza vita nchini Ukraine. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao kwa sababu hakuna kinachowategemea. Wamefanya kazi yao kama "wajinga wa maana", na sasa wanaweza tu kutazama na kukaa kimya...
  13. X

    Trump anataka Marekani, China na Urusi zipunguze nusu ya bajeti zao za ulinzi. Pia anapenda Urusi irudishwe kwenye G7

    "Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo." – Trump Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu...
  14. U

    Jeshi la Urusi yagundua vifaa vya mawasiliano yaani pagers zilizotengenezwa na kampuni kubwa ya kichina kuwa zimetegwa vilipuzi ndani yake

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi Kama vile walivyopewa magaidi ya Hamas na Hezbollah Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel...
  15. DeepPond

    Zelensky: Ukraine iko tayari kutoa ardhi yake Kwa urusi kumaliza vita

    Raisi WA Ukraine Vlodomir Zelensky amesema nchi yake iko tayari kutoa kipande Cha ardhi yake Kwa urusi ili kumaliza vita na uhasama baina Yao. Chanzo: SPECTATOR INDEX
  16. Tresor Mandala

    Wanachofanya M23 kule Goma ni Sawa na Urusi kule Crimea

    Tumeshuhudia mapigano katika ya vikosi vya waasi wa M23 na majeshi ya Sadc pamoja na jeshi la Congo Lkn mpk Sasa M23 wametwaa na kuukalia mji wa Goma kimabavu na kuteua Magavana hii ni sawa na Urusi kule Crimea Leo mkutano wa upatanishi unaendelea lkn M23 walalamikiwa hawapo wanawakilishwa...
  17. Rorscharch

    Kitakachotokea Dakika za Mwisho Kabla ya Vita vya Nyuklia (Nuclear War): Marekani Chini ya Shambulizi Kuu kutoka Urusi

    Katika enzi ya kisasa ambapo uhasama wa mataifa makubwa unazidi kushamiri, hatari ya vita vya nyuklia haijawahi kuwa kubwa zaidi. Marekani na Urusi, mataifa mawili yenye silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuangamiza ustaarabu wa binadamu mara kadhaa, hujikuta katika mgogoro mkubwa wa kijeshi...
  18. State Propaganda

    PIGO JINGINE KWA MAREKANI: Urusi na Uchina zatengeneza Nvidia card bora mara 800 ya zile za USA

    Hii ni habari mbaya sana kwa Pro -USA. **************** ******************* Wanasayansi kutoka nchi hizo mbili wamesuka algorithm mpya kwa kutumia teknolojia ijulikanayo kama "reverse engineering" na kuweza kuboresha kadi kadi za video game . Algorithm hiyo mpya inaruhusu kadi za GPU hizo...
  19. K

    Kwa USA: Ni ujinga kutoa misaada halafu tunapelekea pesa China, waarabu, Urusi na Uturuki

    Mange yupo sawa kwa hili https://youtu.be/wMER57zVsfg?si=ZIhQ0ZUpmoGYodnJ Miradi ya treni yote na barabara badala ya kutoa kwa kampuni za Tanzania badala yake wanatoa kwa China
  20. dogman360

    Wanajeshi wa Korea Kaskazini Waua wanajeshi wa Urusi

    Tukio hilo lilitokea tarehe 13 Januari 2025 karibu na kijiji cha Velikiy Soldatskoye, Mkoa wa Kursk. Wanajeshi watatu wa Jamhuri ya Watu wa Korea Kaskazini (DPRK) waliwaua wanajeshi watano wa Brigedi ya 810 ya Majini. Walitangazwa kuwa wahalifu wanaotafutwa." Hii ilikuwa Published...
Back
Top Bottom