Eti wakuu, leo wakati ninatazama Al Jazeera ghafla ikaja akili mwangu kujiuliza, hivi Ikulu za nchi kama Marekani, Russia, China au Uingereza kuna watu wa aina gani kule wanaajiriwa??
Kwa maana wale jamaa, habari za dunia nzima wanazo, brands zote kubwa duniani ni zao (Google, Microsoft, Meta)...