Urusi imeto lawama kali kwa Marekani, ikisema kuwa inahusika na mambo yanyoendelea kwa sasa huko Middle East.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi, Maria Zakharova, aliita sera yawa Rais Joe Biden huko Middle East kuwa imeshindwa kabisa.
Zakharova alitoa kauli hiyo kupitia ujumbe wa...