urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Russia yavurugana na Wagner Group, waanza kutuhumiana kwa Uasi

    Katika muendelezo wa kinachoonekana ni uasi kwa serikali ya Urusi Wagner group wanaripotiwa kutekea na kutwaa makao makuu ya jeshi katika mji wa Rostov. Misururu ya wapiganaji wa Wagner katika maeneo mbalimbali inazidi kuoenkea ndani ya Urusi, kwa sasa wapo Voronezh na kuna taarifa wanataka...
  2. F

    Vuguvugu la mapinduzi lanukia Urusi. Wagner group yafarakana na vikosi vya serikali. Askari watanda miji yote mikubwa. Putin kuongea muda mfupi

    Ndio habari zinazojiri huko Urusi. Kiongozi wa Wagner Group kikundi cha wapiganaji binafsi kilichokuwa kinaisaidia Urusi kwenye vita Ukraine amefarakana na waziri wa ulinzi wa Urusi. Kumekuwa na hali ya hatari kote Urusi na watu kuamriwa kubaki majumbani. Kiongozi wa Wagner Group anashutumiwa...
  3. Urusi yaomba mamluki wa Wagner wamkamate kiongozi wao

    Huyu mzee alisifiwa sana humu na pro-Russians, haya amekua mwiba sasa na naona anatumika kuishusha supapawa zaidi, Urusi imeomba mamluki wake wamzunguke na kumkamata, ila yeye amesema atafanya kishindo humo humo Urusi kama njia ya kulipiza kisasi mauaji yaliyofanywa kwa wapiganaji...
  4. Finland imetishia nchi za Afrika na Asia kuziondolea misaada iwapo zitaunga mkono Urusi

    Serikali ya Finland imetoa onyo kali kwa nchi za Afrika na Asia kuchagua kuiunga mkono Urusi ama kuchagua misaada. Finland imesema ukiunga mkono Urusi inakata misaada na mikopo nafuu. Soma hapa.
  5. J

    Tanzania na Urusi kushirikiana katika kueneza lugha ya Kiswahili

    Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan ambapo wamejadili namna bora ya Tanzania na Urusi kushirikiana katika sekta ya Utamaduni na Sanaa kwa manufaa...
  6. Ugunduzi wa vitu 50 wa Urusi

    50 groundbreaking Russian INVENTIONS (PICS) SCIENCE & TECH JUN 12, 2022ANNA POPOVA Alena Repkina “Human history is in essence a history of ideas,” Herbert Wells wrote. Thanks to the drive to uncover the world’s mysteries, humans invent new devices, make new discoveries, form entire schools of...
  7. S

    Serikali yakaribisha wawekezaji kutoka Urusi

    Serikali ya Tanzania imewakaribisha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza Tanzania kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa Dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk...
  8. Ukraine yafanikiwa kurejesha maeneo muhimu tokea April 2022 Urusi wayanyakue

    Ni mafanikio makubwa miamba hii ya Ukrain ambayo kabla Urusi walipovamiwa Jeshi la Ukraine lilipewa masaa kusarenda waweke silaha chini.,
  9. Tanzania yawakaribisha wawekezaji kutoka Urusi, Balozi Mbarouk atoa neno

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi...
  10. Wanajeshi 100 wa Urusi waliokuwa wanasubiri hotuba wapigwa bomu na kuuawa

    Walikua wanasubiri hotuba ya kuwatia hamasa, maskini hawakujua satelite inawaona. =========== As many as 100 Russian troops gathered for a motivational speech near Ukraine’s eastern frontline may have been killed in a strike earlier this week, prompting fury among Russian military bloggers...
  11. M

    Meja Jenerali wa Kirusi auawa huko Ukraine

    Meja General wa Kirusi kauawa huko Zaporizhzhia baada ya sehemu alipokuwa kupigwa Mzinga. =========== Russian media reported on Monday that a Ukrainian missile strike on the southern Zaporizhzhia front killed an experienced Russian general. “As a result of an enemy missile attack, the Chief...
  12. S

    Video iliyochukuliwa na Camera ya Bradley fighting vehicle la Ukraine yaonesha namna msafara wa vifaru vya Leopard ulishambuliwa na Urusi

    Video iliyorikodiwa na camera ya mojawapo ya magarivita ya Marekani (Bradley fighting vehicles, yaliyoshambuliwa na Urusi) imeonesha namna msafara wa vifaru vya Ujerumani (Leopard tanks) na magarivitaya hayo ya Marekani (Bradley fighting vehicles) vilivyopigwa 'mtungo' na majeshi ya Urusi kisha...
  13. Mkuu wa Wagner asema bila ya yeye kupewa wapiganaji 200,000 hali ilivyo sasa Urusi haitamudu chochote

    Ukraine wameki washa washa hadi Wagner wanaomba waongezwe hadi wafikie 200,000 maana jeshi la Urusi linapata kipigo sana. The mercenary Wagner Group chief Yevgeny Prigozhin has called on Moscow to provide him with 200,000 troops in order to halt the long-promised Ukrainian counteroffensive, as...
  14. Nina mashaka na Rais wa Ukraine ni mamluki upande wa Urusi

    Nina mashaka sana na huyu rais wa Ukraine kuwa anaweza kuwa anatumika na Urusi hili kuidhoofisha ulaya kiuchumi na teknologia ya silaha zao. Mfano Himars zimeundwa 2012, uwezo wa Patriots, uwezo wa Leopard tanks n.k. Matangazo ktk media za west zikisifia dhana hizi za kivita, lakini uharisia...
  15. Ukraine wafaulu kupasua na kufumua ngome ya kwanza ya Urusi

    Hayawi hayawi huwa, wazalendo wapasua ngome ya kwanza, Warusi washindwa kuhimili mapigo....twende kazi ========= Ukraine has broken through Russia’s first line of defence in several places, 48 hours after launching its long-awaited counter-offensive, the Ministry of Defence has said...
  16. Ukraine waendelea kushambulia Urusi ndani kwa drones

    Warusi wanaendelea kukosa amani ndani kwao... Three people were lightly wounded after a drone crashed into a residential building in southwestern Russia near Ukraine, a regional governor said, exposing the latest vulnerabilities in the country's air defense systems as President Vladimir Putin's...
  17. M

    Urusi ilivyosema sitishiwi na vifaru vya Ujerumani leopords-2, vitaunguzwa kama vilivyounguzwa vifaru vingine. Kweli imevitia kiberiti

    Rais Zelensky wa Ukraine alipigia debe sana kupewa vifaru vya ujerumani vinavyoaminika sana ulaya. Ujerumani ilikuwa haitaki kutoa vifaru vyake. Lakini mwisho wa siku ujerumani ikakubali kuipa ukraine vifaru vyake na kuruhusu nchi zingine kuipa ukraine vifaru vya Leopords-2. Vyombo vya...
  18. Baada ya UN kushindwa kuchukua hatua dhidi ya Urusi hivi ndivyo mambo yalivyo huko Kyv, Ukraine

    USELESS: Kyiv residents left a message for the UN by tagging the organisation's vehicles that have been parked in the centre of Kyiv.
  19. M

    Urusi iligoma kutishiwa nyau na Ukraine ikaamua kumshambulia

    Iko hivi, ili kumwogopesha urusi asiendelee kutumia makombora yake ya hypersonic missiles kushambulia sehemu nyeti za ukraine, wakaamua kuzua uongo kuwa Patriot air defense imedungua makombora sita ya "hypersonic missiles) ya urusi. Lengo ni kumtisha urusi asiendelee kuyatumia. Urusi ikaamua...
  20. Wagner wamkamata mateka mojawapo wa wakuu wa jeshi la Urusi, yanafurahisha

    Vita vyaanza baina ya wanajeshi wa Urusi na wapiganaji wa Wagner, mbwa kala mbwa, yajayo yanafurahisha... The head of the Wagner Group, Yevgeny Prigozhin, has indicated the Russian army has killed some of his mercenaries. In what the British Ministry of Defence (MoD) called a feud of "an...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…