Nimeona clip Mkuu wa Mkoa Arusha anasema kuna mwananchi kanunua nyumba kashindwa kukabidhiwa nyumba aliyolipa asilimia 70 na kapewa kesi yaani ujambazi wa kutumia silaha na kituo cha polisi Usa River Arusha.
Nathibitisha baada ya ufuatiliaji wa miezi minne (4 ) Kituo cha Polisi Usa River...