Mwezi mei,2024 UN iliendesha zoezi la kuitambua Palestine kama Taifa,nchi 144 kati 193 zilipiga kura ya kuitambua na nchi 25 zilijizuia kupiga.Maajabu ni kuwa kura za hao wote sio chochote hadi pale wale wenye kura ya VETO Russia, USA, UK,France na China ambao ni wanachama wa kudumu wa baraza la...