usa vs russia

USA vs AL-ARIAN is 2007 documentary film about Sami Al-Arian and his family during and after his federal trial on terrorism-related charges. It was directed by the Norwegian director Line Halvorsen.
According to the St. Petersburg Times, the film "glosses over the specific charges, and pays scant attention to the evidence." However Variety notes that, "Though unquestionably biased, eye-opening docu "USA vs Al-Arian" throws the spotlight on a justice system shanghaied by the Patriot Act, leaving a deeply sympathetic family frayed but not quite broken."
In the trial, the jury acquitted Al-Arian of nearly half the charges, and deadlocked on the remaining charges. After the trial, Al-Arian pleaded guilty in 2006 to conspiracy to help a terrorist organization, the Palestinian Islamic Jihad.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Hii imekaaje hadi Marekani na Russia washiriki kwenye haya mazoezi ya kijeshi?

    Meli za Kivita za Jeshi la Wanamaji za Marekani na Russia wafanya mazoezi Pamoja; Uchina, Mataifa ya QUAD Pia Yajiunga na Komodo 2025. Kwa upande wa matukio ambayo yanapinga mivutano na ushindani wa hivi majuzi, vikosi vya jeshi la majini la Russia, China, Marekani, India, Australia na...
  2. Mi mi

    Tuwafahamu washirika muhimu wa Israel na Iran duniani

    Washirika muhimu wa haya mataifa mawili hasimu[ Israel na Iran ] hapo mashariki ya kati ambao wapo bega kwa bega nao katika ushirika muhimu wa kiuchumi, kiulinzi na kiushawishi leo tuwafahamu kidogo in case huu uhasimu ukizaa vita kubwa tegemea kuona kishindo kikubwa sana mashariki ya kati...
  3. jmushi1

    Makombora ya Marekani yatumika kuipiga Crimea, Urusi yamwita balozi wa Marekani, yasema italipa kisasi!

    Sijui ni kivipi Russia watalipa kisasi kwa marekani kama walivyosema mara baada ya makombora ya marekani kutumiwa na Ukraine kushambulia Crimea ambayo tayari iko chini ya himaya ya Urusi tokea 2014. Habari zaidi… Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilimwita balozi wa Marekani Jumatatu kupinga...
  4. green rajab

    Biden aipiga marufuku Ant Virus ya Kaspersky ya Russia kwa Ujasusi

    Putin kawashika pabaya Marekani sasa wanahaha kujilinda kwa kila mahala baada kuistukia Kaspersky Software ya Urusi inatumika kufanya ujasusi..Juzi tu walikua Wana ituhumu TikTok ya China kwa ujasusi🤣🤣🔧 --- 🚨 BREAKING: BIDEN BANS ANTIVIRUS KASPERSKY SOFTWARE Biden admin will announce plans to...
  5. lee Vladimir cleef

    Sasa tumepata majibu baada ya Urusi kupeleka nyambizi Cuba

    Mimi naamini kua Kwa Sasa Urusi Iko vitani na NATO. Nae USA ni Mkuu wa NATO. Lkn wapo pro NATO wanakuambia hapana Urusi Iko vitani na Ukraine peke yake,NATO haimo,wanaenda mbele Wana sema nchi ndogo TU ya Ukraine Urusi imechukua miaka miwili kuishinda je hii Urusi ndio ya kupigana na NATO...
Back
Top Bottom