usafi maeneo ya kula

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    KERO Kariakoo kuna chemba zinatema maji machafu na kuhatarisha afya za Watu, Viongozi wapo kimya

    Licha ya kutambulika wazi kwamba Kariakoo ni sehemu muhimu ya kibiashara ambayo inajumuisha shughuli mbalimbali ambazo zinafanya kuwa chanzo nyeti cha mapato nchini, lakini nashangazwa na mamlaka kushindwa kuwajibika kuzingatia usafi wa mazingira katika eneo hilo. Ni zaidi ya Wiki mbili sasa...
  2. Sister Abigail

    KERO Wafanyabiashara ya chakula acheni kurudisha mabaki

    Kuna hii tabia ya kurudisha mabaki ya mteja kwenye chakula Kwa wafanyabiashara hasa wa maeneo ya kawaida japo huwa hatuoni ila utakutana nayo tu. Juzi Kuna mtu kasema aliwahi shuhudia mama ntilie anarudisha mchuzi uliobakishwa na mteja kwenye sufuria ya mboga nikakumbuka visa vyangu, silagi Kwa...
Back
Top Bottom