Kuna hii tabia ya kurudisha mabaki ya mteja kwenye chakula Kwa wafanyabiashara hasa wa maeneo ya kawaida japo huwa hatuoni ila utakutana nayo tu.
Juzi Kuna mtu kasema aliwahi shuhudia mama ntilie anarudisha mchuzi uliobakishwa na mteja kwenye sufuria ya mboga nikakumbuka visa vyangu, silagi Kwa...