Unasababaisha mchafuko wa hali ya hewa ambao pia ni usumbufu, kero na kichefuchefu kwa wengine..
Sio kwasababu ya uchafu wa viatu vyako, uchafu wa miguu au soksi, inaweza kuwa ni tatizo la asili la kunuka miguu au tatizo la kiafya...
Usijiamini sana, harufu ya miguu yako na viatu vyako ibaki...