Just imagine mtu anaenda chooni kukojoa halafu hajisafishi tupu yake ya mbele unafikiri nini kitatokea? Hapo lazima atapata ma toilet disease tu kama UTI, Cystis, Urethritis na mengine neyo na pia atanuka nguo zake na mwili wake.
Just imagine mtu hususani wanawake wanaenda chooni wanakojoa Bila...