Kati ya vitu vilivyonisumbua, hasa miaka ya nyuma nilipokuwa nikienda ugenini vijijini, ni suala la kuswaki kwa kutumia maji yaliyowekwa kwenye beseni/ndoo ya kuogea. Tokea nikiwa mdogo, nilishajizoesha kuwa maji ya kwenye ndoo ya kuogea "hayafai" kuswakia.
Lakini kama wasemavyo, "msafiri...