usafi wa mazingira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Sumbawanga yafanya usafi wa mazingira kwa ushirikiano wa Viongozi wa CCM na Wananchi

    Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa mapema leo Viongozi,Wananchi, Wafanyabiashara, Viongozi wa Serikali na siasa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Taasisi na Watumishi wamefanya usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya Mji wa Sumbawanga ikiwa ni pamoja na barabara za Mjini na...
  2. Pfizer

    NEMC, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa yahamasisha usafi wa mazingira na urejelezaji taka

    Dar: NEMC na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wafanya Usafi Ilala Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki katika zoezi la kufanya usafi wa Mazingira lililofanyika katika Wilaya ya Ilala. NEMC imeshiriki zoezi hilo ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  3. Pfizer

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, yakagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na...
  4. Amimu H Abdallah

    SoC04 Usimamizi wa taka na usafi wa mazingira: Changamoto na suluhisho la kudumu

    Tarehe tano (5) mwezi juni kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya mazingira ikiwa lengo lake ni kuleta pamoja mamilioni ya watu duniani kote na kuwashirikisha kwenye jitihada za kutunza na kuboresha Dunia kupitia mazingira yao. Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine duniani huchukulia umuhimu...
  5. Pfizer

    Dk.Philip Mpango aagiza NEMC kuangalia mapungufu ya kisheria yanayosababisha kukosa nguvu katika usimamizi wa usafi wa mazingira

    MAKAMU wa Rais, Dk.Philip Mpango amezindua chapisho la utafiti wa hali ya mazingira ya Pwani na Bahari Tanzania Bara huku akiagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuangalia mapungufu ya kisheria yanayosababisha kukosa nguvu katika usimamizi wa usafi wa mazingira ili...
  6. T

    KERO Mkurugenzi Manispaa ya Moshi awalazimisha watumishi kufyeka na kusafisha makaburi ya Karanga siku za mapumziko

    Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi. Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi...
  7. peno hasegawa

    Usafi wa mazingira umeshindikana Manispaa ya Moshi, wananchi walalamika

    Wakazi wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kuzagaa kwa takataka katika maeneo yao kwa zaidi ya miezi mitatu sasa pasipo kuzolewa licha ya kutozwa ushuru wa uzoaji wa taka hizo Majibu Kwa njia ya simu kutoka Moshi, ni ya uongo na hayaba mshiko. KAZI yake kukusanya michango...
  8. Gulio Tanzania

    Mafanikio huwa yanaanza na watu kuanza kujali usafi na utunzaji wa mazingira

    Kuna siri kubwa katika kujali usafi na utunzaji wa mazingira yanayotuzunguka ardhi inanguvu kubwa sana tangu kuumbwa kwa adam na Eva waliwekwa kwenye bustani ya Eden bustan safi yenye kupendeza na kuvutia hili ndilo lilikuwa kusudio la Mungu binadam waishi katika mazingira yanayopendeza na...
  9. MaylaGladson

    Natamani sana Dar es Salaam ingeweza kuzingatia sana kwenye usafi wa mazingira maana kwa mazingira yalivyo kwa sasa sio salama

    Habari wana Jamii Forum Ningeomba niwasilishe hili swala kwa jamii ili tuliongelee. Dar es Salaam ni Jiji zuri sana kwa hapa Tanzania ambalo linapendwa na wengi na huo ndio ukweli usiopingika,lakini pamoja na uzuri wake wote kuna kitu kimoja tu kinashusha thamani ya Jiji hili nacho ni MAZINGIRA...
  10. shamzugi

    Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Tanga kuna uozo mkubwa, Serikali imulikeni

    Kwanza nianze kwa kuwapa salam. Muende moja kwa moja kwenye malalamiko yangu. Ni jumanne ya wiki hii nyumba tunayoishi Mimi pamoja na wapangaji wenzangu tulikatiwa maji kutokana na baadhi yetu kulimbikiza malipo ya Ankara za Kila mwezi. Siku ya jumatano tulifanikiwa kulipa bili pamoja na faini...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Zaytun Swai: Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini Itawasaidia Sana Akina Mama

    MBUNGE ZAYTUN SWAI: PROGRAMU ENDELEVU YA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI ITAWASAIDIA SANA AKINA MAMA Mhe. Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha tarehe 11 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Utekelezaji wa Programu Endelevu ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini...
  12. NetMaster

    Nawashangaa watu wachafu wanaohangaika kusafishiwa nyota wakati tatizo ni uchafu, kuoga na usafi wa mazingira ni shida. Nani umvutie?

    Tena ni hasa jamii flani ya sehemu flani (sio dini) nisingependa kuitaja kuna baadhi yao uchafu kwao ni suala la kawaida kabisa, mtu kuwa msafi ni kwa nje tu juu juu lakini usafi wa mwili na mazingira anayoishi upo chini mnoooo, atafukiza mamoshi ya udi kuondoa harufu, kuoga zinapita hata siku 3...
  13. M

    Weka wazo lako la kuishauri serikali kuhusu kuboresha usafi wa mazingira

    Habari ya jioni wanaJF, Mimi kama mkazi wa DSM nimeona niweke hii thread hapa ili tuwe tunaishauri serikali jinsi ya kuboresha usafi wa mazingira tunayoishi. Ushauri serikali ifanye haya. 1. Kuongeza kodi maradufu kwenye nepi za watoto wanaoziita baby diapers... Hizi zimekuwa uchafu maeneo...
  14. Venus Star

    Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye Katiba?

    Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye katiba? Nimekuwa nikitatizika sana na usafi wa mitaa yetu. Hakuna jitihada zozote zinazoongelewa kuhusu usafi wa mazingira yetu. Inasikitisha sana kwamba tupo na ngazi za uongozi kutoka kwenye mitaa lakini hakuna utashi wa kuhimiza watu...
  15. KING MIDAS

    Je mtaani kwenu kuna dampo? Kama hamna mnafanyaje kudumisha usafi wa mazingira?

    Hebu tuelezane ukweli ili tuweze kuyafanya mazingira yetu safi na salama.
  16. R

    Mnaoweka mkojo kwenye chupa na kutupa barabarani mnakwaza

    Hivi mtu unafikira nini mpaka unatoa haja ndogo na kuweka kwenye chupa na kisha kwenda kutupa mtaani? Huoni kwa kufanya hivyo mbali na kuharibu mazingira unahatarisha afya za wanaotumia barabara hiyo? Kawe, DSM Hizo kwenye video siyo petroli au pombe, ni mkojo! Lita mbili na zaidi! Mbaya...
  17. Mchokoo

    DOKEZO Magari taka kumwaga uchafu pembezoni mwa Tawi la Mto Zinga Mwanagati, Ilala, Serikali mko wapi?

    Waziri wa Mazingira upo? Mbunge upo, Diwani upo, Jiji mpo, Waziri wa Afya upo, NGO mko wapi, wakazi wa maeneo haya tunaangamia? Mbona hamumsaidii Rais wetu mpendwa Samia, ilihali amewaamini kuwaweka kwenye nafasi hizo? Wananchi wakianza kufa msiseme hamkuambiwa. Hapa Mwanagati wilayani, Ilala...
  18. Suley2019

    Plastic Waste Pickers: The Shunned and Scorned Environmental Warriors of Tanzania

    By Mweha Msemo | June 23, 2022 Dar es Salaam. Plastic waste is a common sight on many streets of Dar es Salaam. Recklessly disposed of from homes and stores or thrown out of the windows of daladalas and private vehicles – it adds to the unsightliness of this already heavily polluted economic...
Back
Top Bottom