usafi wa mikono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sildenafil Citrate

    Safisha mikono yako baada ya kutoka chooni, ni namna nzuri ya kujikinga na maradhi

    Kinyesi cha binadamu hubeba aina nyingi za vimelea vya magonjwa. Baadhi ya vimelea hivyo ni Salmonella ambavyo husababisha homa ya matumbo (typhoid) pamoja na Norovirus ambao husababisha kuharisha na kutapika. Pia, choo hubeba E. coli 0157, aina ya bakteria wanaosababisha maumivu makali ya...
Back
Top Bottom