Lazima tukubaliane maji sio ya kila mtu. Kuna watu hawapendi tu kuwa karibu na maji achilia mbali kuyatia mwili.
Sasa kama wewe ni mmojawapo twende pamoja.
Hakikisha una sabuni ya kuogea.
Pitisha maji na sabuni usoni na unawe vizuri.
Pitisha maji na sabuni kwenye sehemu zote za mikunjo yani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.