Changamoto ya harufu nzito ya uvundo wa jasho kwenye nywele huwa kero na usumbufu kwa wasio husika.
Kwa wazoefu, ni katika muda gani yafaa nywele kuoshwa, kusukwa tena bila kufumua na kuficha kwa wigi ambalo huzidisha harufu nzito zaidi?🐒
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.