Ni ukweli ulio wazi kuwa UDART maarufu kama mabasi ya mwendokasi imeshindwa kutoa huduma kwa watu na yenyewe imekuwa ikijitetea kuwa haina mabasi ya kutosha kwa sasa.
Kwa sasa wananchi wanapata adha kubwa ya usafiri kiasi ukipita asubuhi vituo vya mwendokasi vimejaa abiria ambao husubiri...