Katika harakati za mtu mweusi, nikaenda Ifakara, Morogoro.
Sasa kufika hapo mchongo ukanitaka asubuhi niende Mlimba Morogoro pale Kihansi Hydropower. Nauliza wenyeji wanasema kwa “bus” ni kama masaa 2 hivi. Nikaona sio mbaya.
Nikaamka saa 3 kujiandaa kufika saa 4 nipo stendi. Nikapanda Noah...