usafiri salama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nawapongeza serikali Kwa ukarabati wa meli Ya MV Victoria Hapa kazi tu

    Mnyonge mnyongeni lakini hakini yake mpeni. Leo nimesafiri na hii meli kutoka Mwanza kuelekea Bukoba kusema la ukweli nimefurahia safari. Meli inavutia mno seat ziko vizuri, huduma ya chakula, upande wa bar Kuna vinywaji na burudani hadi nimeisahau kama Niko safarini. Wahudumu wameli wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…