Kwema wakuu,
Nahitaji watu wa masuala ya usafiri wa anga wa ndege na helicopter wanatakiwa wawe na experience kwenye masuala yote ya usafiri wa anga nahitaji watanzania lakini kama kuna wakenya, wauganda au waburundi au nchi nyengine yoyote unakaribishwa. Nahitaji pia wale watu wo masuala ya...
Teknolojia itumikayo katika usafiri wa anga, imenakili pakubwa kutoka katika viumbe vya asili.
Ndegehai ni moja ya sababu kubwa ya ndege kupaa leo.
Ukiacha mbinu za kimuundo na upaaji, sehemu ya tafiti za viumbehai zinaonesha jinsi baadhi ya ndegehai kama Bukini mara kadhaa hugeuza kiwiliwili...
Usafiri wa anga nchini Tanzania ni usafiri ghali na wa gharama ya juu hadi kufikirisha ukilinganisha na mataifa mengine yakihusisha na safari kutoka bara moja hadi bara jingine.
Usafiri wa anga chini ya Air Tanzania kwa kiasi kikubwa ukisaidiana na Precision Air unaonekana kama umewalenga...
1. Katika kuhakikisha wanakamata soko la usafirishaji wa Anga. RwandAir, Uganda Airlines na Air Tanzania kuungana ili kupambana na washindani wakuu kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki (Kenya Airways & Ethiopian).
2. Mashirika haya matatu wanaruka destinations nyingi zinafanana barani (JHB, JRO...
Kwa mujibu wa takwimu za usafiri zilizotolewa na mamlaka ya anga ya Nchi zote inaonesha wakenya wakitumia usafiri wa ndege mara 3 zaidi ya Watanzania ambapo takribani watu Milioni 12.3 walisafiri kwa Ndege huko Kenya wakiwemo wageni zaidi ya mil. 5 na raia zaidi ya mil. 6.
Kwa upande wa...
Habari wakuu
Mwisho wa mwezi huu Nina safari ya kwenda MPANDA, kwakua ni safari ya zaidi ya masaa 17 nikaona bora nipande ndege ili nisijichoshe na safari ndefu. Nikaamua nianze mchakato wa kubook ticket mapema 😤 nimekuta gharama yake ni zaidi ya Tsh 700k kwa Mtu Mmoja na hiyo ni kuenda tuu sio...
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) imesema hakuna utoroshwaji wa wanyama pori kwenda Falme za Kiarabu kama taarifa za upotoshwaji zinavyodai.
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza Johari amesema katika taarifa kwa vyombo vya habari leo kuwa kama Mamlaka inayohusika na kutoa vibali...
Constantine J. Samali Mauki
Utangulizi
Nikiwa mtoto, nilijua watu wanaosafiri kwa ndege ni watalii (kwa maana ya wazungu), matajiri, na viongozi wakubwa wa Serikali. Nilipokuwa mkubwa na mpaka sasa, naona mtizamo wangu bado ni uleule niliokuwa nao nikiwa mtoto, kwamba usafiri wa ndege ni wa...
Kwa niaba ya Kamati ya Mfuko wa Mafunzo ya TCAA, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania inakaribisha Watanzania wenye sifa za kuomba mkopo wa mafunzo ya fani ya Uhandisi wa Matengenezo ya Ndege (nafasi 10)
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima.
Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima.
Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
Matunda ya Tanzania Royal Tour, Mkurugenzi wa shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania), Mhandisi. Ladislaus Matindi amechaguliwa kuwa mjumbe wa bodi Shirika la masuala ya usafiri wa Anga na Teknolojia (SITA Aero) namba moja Duniani.
SITA Aero inakadiriwa kuwa jumla ya wanachama 550 Dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.