Yaani hiki chombo cha kusafirisha masikini huwa nashangaa kabisa mtu anaenda kufanya hii kazi, aisee kazi ambayo dakika sifuri unakua kilema au unachimbiwa futi sita tena hata kama uwe makini vipi ila anatokea mjinga mmoja tu barabarani anakuletea ubavu unaenda chali.
Mimi watoto wangu siwezi...
Salamu,
Nimepata taarifa mbaya hapo makondeko Moshi, mzee mmoja kafariki na dereva hoi.
Pia soma: Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam
Mimi nawashauri hawa madereva wawe makini hasa kwenye highway. Nasikia ukienda hapo KCMC kuna word...
Ramadhan Ng’azi Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani alisema hayo kwenye redio ya Crown FM.
“Tuliporuhusu bodaboda kuwa usafiri wa kubeba abiria tulikosea, utaratibu uliotumika haukuwa sahihi ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo sasa, madereva".
Je, kama vyombo vya polisi na idara zenu...
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana kwa afya zao vifo vinavyotokana na ajali za boda boda vimekuwa ni vingi mno.
Nashauri Serikali...
Mimi siwaiti madereva bali waendesha pikipiki za biashara wanapitia changamoto za uonevu toka kwa mabosi wao na jeshi la polisi.
Niliwahi kuelezwa kisa kimoja cha boda aliyekuwa anaendesha boda ya mkataba. Ishu ilikuwa hivi: huyu boda anaendesha boda ya tati kwa bosi mmoja, sasa akakodiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.