Mamlaka ziangalie usafiri wa mabasi ya Jiji la Arusha kwenda Mbeya kwani mabasi yale ni machakavu hayafai kusafirisha abiria sehemu yoyote ndani ya nchi hii ukizingatia yanatoka Arusha Jiji kwenda Mbeya jiji
Wakuu
Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini.
But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili upo muda wote.
Mfano jana nimetoka Mwanza saa saa 10 jioni ila leo saa 7 au 8 hivi nimefika Mbeya na...
Katika zama hizi za utandawazi, usafiri umekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kusafiri kwa ndege, treni, basi, gari, pikipiki, au hata kwa miguu. Hata hivyo, pamoja na urahisi huu wote, bado tunakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na ucheleweshaji, ajali, na...
Umasiki mbaya aisee,
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndiyo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali gani
Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air Tanzania
Nimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30 stendi nimeambiwa nisubiri gari. Cha ajabu nimesubiri mpaka saa 1: 10 asubuhi nakuja kuambiwa et...
Toka kuanzishwa kwake mwaka 1947 kampuni ya usafiri wa mabasi jijini Dar es Salaam Motors Transport (DMT) chini ya udhibiti wa British Holding Cooperation United, iliendesha shughuli zake kama katika nchi zilizoendelea. Yaani mabasi yalikuwa yanakwenda sio kiholela bali kwa ratiba na kitabu...
Wakuu,
Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo!
Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imepokea maombi ya kurejea nauli za mabasi yanayotoa huduma ya usafiri wa haraka kutoka kwa UDART ambayo inatoa huduma za mpito za usafiri wa Mabasi ya Haraka katika Jiji la Dar es Salaam
Mapendekezo ya Nauli yaliyotolewa ni kama ifuatavyo, Nauli ya...
KAMA kichwa cha habari kinavyosema nijiandae na mazuri yapi na mabaya yapi kutoka kwenye hili bus maana niko huku bush (kijijini) mbeya karibu na tabora ndio nataka nipande.
Au nisipande mnijulishe pia nipande gari ipi kwa hapa nilipo maana nililo likuta mimi ndio hili tu japo kuna Noah lakini...
Usafiri wa Mabasi ya Newala, Mtwara ni changamoto sana na ni shida ya mda mrefu sana.
Wafanyabiashara wa mabasi wanafanya biashara kwa kubahatisha; service hazifanyiki vzur na kwa wakati hali inayopelekea magari kuharibika sana njiani na hta kuweza kusababisha ajali barabarani.
Naomba serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.