Mwanza.
Serikali ya Tanzania imewekeza Sh60 bilioni kuboresha bandari tatu kuu za Ziwa Victoria.
Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Erasto Lugenge aliwaambia wandishi wa habari waliotembelea bandari za Bukoba na Kemondo kuwa uwekezaji huu mkubwa katika bandari za Kemondo, Bukoba na Mwanza...