Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
BUNGE LABAINI KUSUASUA USAFIRI WA MWENDOKASI (BRT) DAR
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika utekelezaji wake licha ya uwekezaji mkubwa wa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imetoa taarifa kuhusu uendeshaji wa mradi wa mabasi yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Salaam na kubaini tija ndogo katika utekelezaji wake licha ya uwekezaji mkubwa wa serikali.
Hayo yamebainishwa bungeni jijini Dodoma leo...
Salaam
Imekuwa kero, shida, usumbufu na tabu kwa abiria wanaotegemea usafiri huu katika vituo vya kati vilivyopo katika njia kuu za mabasi ya mwendokasi.
Mfano njia ya kimara kuelekea gerezani ama kivukoni kwa abiria anayeanza safari yake katika vituo vya Korogwe, Bucha ,Baruti, Shekilango...
Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad!
Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa...
Mimi ni mdau na mwananchi nayepanda usafiri wa Udart.
Mwezi huu wa June nimeshuhudia wezi wanne kukamatwa na watu zaidi ya 30 kulalamika kuibiwa simu na pesa wakati wa kugombania mwendokasi hasa hasa vituo vya kivukoni na Gerezani na Manzese ambapo nimeshuhudia watu wakikamatwa katika vituo...
Kwa jinsi hii DART ilivyokuwa inapigiwa promo enzi mradi unaanza, na hali halisi ya sasa ya uendeshaji wake, ni dunia mbili tofauti.
Kuna kipindi mradi ulivyokuwa unafunguliwa na Hayati Magufuli huu mradi ulitumika kama benchmark kwa nchi kadhaa za Afrika ambazo walidai watakuja lujifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.