Habari wakuu
Mwisho wa mwezi huu Nina safari ya kwenda MPANDA, kwakua ni safari ya zaidi ya masaa 17 nikaona bora nipande ndege ili nisijichoshe na safari ndefu. Nikaamua nianze mchakato wa kubook ticket mapema 😤 nimekuta gharama yake ni zaidi ya Tsh 700k kwa Mtu Mmoja na hiyo ni kuenda tuu sio...