Serikali ya Tanzania imekamilisha upembuzi yakinifu wa kuwezesha Wakazi wa Tegeta hadi Bunju kutumia Usafiri wa Treni.
Treni hii itajengwa kuanzia Ubungo Maziwa, Kupitia Mlimani City, Mwenge hadi Tegeta.
Nia ni kufungua Dar es Salaam na kutanua huduma kwa Wananchi.
Sasa Tegeta kwenda kuwa...
Wakuu nimekutana na video inayosambaa kwa kasi sana mtandaoni ambapo wanaonekana John Mrema na John Mnyika, na Mrema akisikika kuwa atatoa maoni juu ya usafiri huo mara baada ya safari kukamilika lakini kinachonipa utata ni sauti inayosikika katika video hiyo baada ya Mrema ikisema viongozi hao...
Tokea wiki iliyopita naangalia tiketi ya safari kwenda morogoro siku ya Alhamis sioni safari! Wanaweka safari ya siku moja moja.
Unaweza ukasema usubirie waiweke safari ya siku unayotaka na wasiiweke, siku hiyo kukawa hakuna safari kwahiyo inakua kama umepoteza muda kusubiria.
Huu usafiri si...
Leo hii tumetambua umuhimu wa treni kwa uchumi wa taifa letu.
Mabasi ni kero kubwa sana. Na yanachelewesha sana.
Sasa lini? Dodoma Mwanza kitakamilika?
Soma Pia: Samia Great Railway (SGR): Kichocheo Kipya cha Maendeleo Tanzania
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo.
Ambao...
Ni usafiri tulivu, salama na wa uhakika sana, muonekano wa mandhari nzuri sana za misitu, milima na mabonde njiani ni burudani tosha, ukiachilia mbali huduma murua ndani ya treni, mazingira bora na ya kisasa sana ndani ya treni yenyewe.
Tanzania imelamba dume kwa kukamilika na kuanza kazi kwa...
Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Jamila Mbarouk amezungumzia taarifa kuwa Treni inayofanya safari zake Dar es Salaam – Arusha ‘imekufa’ na haitaendelea kuwepo kama ilivyokuwa ikidaiwa na baadhi ya Wadau.
Anafafanua kilichotokea hadi huduma hiyo kusimama...
Kwenye mtandao wa kukata tiketi za treni ya Deluxe kutoka Dar es Salaam hadi Arusha ni rasmi imekufa. Nakumbuka usafiri huu ulisaidia sana changamoto ya usafiri hasa kwa watu wa kipato cha chini na cha kati.
Hata mimi nilipanda baada ya kuona inasifiwa sana na ilikua na vibe la kweli
Nauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.